All parliamentary appearances

Entries 51 to 60 of 97.

  • 5 Nov 2014 in Senate: Thank you, Mr. Deputy Speaker, the whole of this afternoon I have been lost because I wish Sen. ole Ndiema could explain to me the foreigner in that context. view
  • 5 Nov 2014 in Senate: Thank you, Mr. Deputy Speaker, the whole of this afternoon I have been lost because I wish Sen. ole Ndiema could explain to me the foreigner in that context. view
  • 5 Nov 2014 in Senate: Thank you, Mr. Deputy Speaker, I thought that---- view
  • 5 Nov 2014 in Senate: Thank you, Mr. Deputy Speaker, I thought that---- view
  • 5 Nov 2014 in Senate: Asante sana, Bi Spika wa Muda. Kwanza, naomba kutoa hongera zangu kwa Mama wa Taifa, Bi Margaret Kenyatta, kwa kazi nzuri anayofanya. Nia yake hasa ni kuona kuwa tunaishi vizuri na hakuna vifo vinavyotokana na maradhi yoyote. Anataka kupunguza vifo hivi virudi chini kabisa. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 5 Nov 2014 in Senate: Asante sana, Bi Spika wa Muda. Kwanza, naomba kutoa hongera zangu kwa Mama wa Taifa, Bi Margaret Kenyatta, kwa kazi nzuri anayofanya. Nia yake hasa ni kuona kuwa tunaishi vizuri na hakuna vifo vinavyotokana na maradhi yoyote. Anataka kupunguza vifo hivi virudi chini kabisa. Pia, naomba kutoa shukurani kwa kamati ambayo niko, ya Afya. Kama unavyojua kesho tunaenda safari ili tujue hali ya kupambana na ugonjwa wa Ebola kwenye mipaka iko namna gani. Maoni yangu pia kwa viongozi ambao tuko hapa ni je: Wangapi ambao ukienda nyumbani, labda wapitia pale hospitali? Ni kama tumeacha zile hospitali bila mwelekeo. Ukienda pale ... view
  • 5 Nov 2014 in Senate: Bi Spika wa Muda, hilo ni tamko la Kiswahili ambalo lina maana kuwa hakuna mwelekeo; kitu ambacho hakiangaliwi au hakiwekwi inavyotakikana kiwe. Ndiyo ninasema “Shagala bagala.” view
  • 5 Nov 2014 in Senate: Bi Spika wa Muda, hilo ni tamko la Kiswahili ambalo lina maana kuwa hakuna mwelekeo; kitu ambacho hakiangaliwi au hakiwekwi inavyotakikana kiwe. Ndiyo ninasema “Shagala bagala.” view
  • 5 Nov 2014 in Senate: Bi. Spika wa Muda, tukiangalia yote haya, utaona ya kwamba tuna hitaji uhusiano ama ushirikiano kwenye kaunti na Serikali kuu. Tusiseme zile hospitali za kaunti zitaachiwa tu kaunti. Lazima tuwe na ushirikiano kabisa. Kama nilivyosema hapo awali, lazima tuwe tunapitia kwenye hospitali hizi ili tuwaangalie wagonjwa kama viongozi. Wakati mwingine, unaweza kufungwa bandeji ili uone wale wauguzi wanafanya kazi gani. Pia, unaweza kuvaa bui bui ili wasikutambue na kwa kufanya hivyo, utaweza kujua jinsi watu wako wanavyotibiwa. Ni shida kubwa ambayo tuko nayo lakini kama viongozi tukiungana na ule mwelekeo wa Mama wa Taifa, itakuwa ni vizuri kwa sababu mwelekeo ... view
  • 5 Nov 2014 in Senate: Bi. Spika wa Muda, tukiangalia yote haya, utaona ya kwamba tuna hitaji uhusiano ama ushirikiano kwenye kaunti na Serikali kuu. Tusiseme zile hospitali za kaunti zitaachiwa tu kaunti. Lazima tuwe na ushirikiano kabisa. Kama nilivyosema hapo The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus