All parliamentary appearances

Entries 71 to 80 of 97.

  • 24 Jun 2014 in Senate: Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii. Mambo yaliotokea Mpeketoni ni ya kuhuzunisha sana. Wanaume na vijana wetu ambao tulikuwa tunawatarajia kutupatia vizazi vijavyo waliuawa bila sababu yoyote. Bw. Spika wa Muda kama Wakenya tunafaa kujua kuwa tuna shida. Kama hujui tatizo huwezi kujua vile utalitatua. Je, shida ipo na kama ipo ni nini? Je, usalama ni polisi ama Bw. ole Lenku? Usalama ni jukumu letu sote. Tusiangalie mtu mmoja peke yake wala tusitarajie malaika aje atuhakikishie usalama wetu. Ni lazima sote tuangalie mambo ya usalama. Kama wenzangu walisema, ni lazima usalama uanzie kule chini mashinani. Tukitarajia usalama ... view
  • 24 Jun 2014 in Senate: Bw. Spika wa Muda, nilikuwa nasema kuwa hatufai kuwalaumu magaidi wa Al Shabaab kwa maovu yote. Ni lazima tuwe macho zaidi ili tusiwalaumu tu bila kuchunguza zaidi. Bw. Spika wa Muda, wanahabari wengine pia waliripoti kuwa watu walikuwa wanaulizwa majina na kutakiwa kukariri aya fulani ya Quran au kuulizwa swali kwa Kisomali. Pia vyombo vya habari vinafaa kutueleza mambo vizuri,. Hii ni kwa sababu wao wakitupatia mambo ya ukweli, basi uchunguzi utakuwa rahisi kwetu. Bw. Spika wa Muda, hatuna Kenya nyingine ambayo tutaikimbilia. Kenya ni yetu na ni lazima tuitunze sisi sote. Hakuna nchi nyingine ambayo itatuchukua sisi sote ikiwa ... view
  • 19 Jun 2014 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I wish to thank Sen. Sijeny for that Statement. But I am just wondering how soon the jetties will be completed given that it is a rainy season and they are being washed away by the rains. I think that we are going to face a problem. view
  • 10 Jun 2014 in Senate: Thank you Mr. Temporary Speaker, Sir, for this opportunity. I also stand to support this Bill. I happen to come from Kilifi County and this has really affected our people who consume Mnazi day and night. I am happy with the Jubilee Coalition Government which is now trying to provide employment to our people who are consuming a lot of alcohol. You can imagine how many hours we have sat in this Chamber this afternoon and none of us has thought of going to drink, but because there is unemployment in Kilifi County, they have engaged in drinking Mnazi. I ... view
  • 17 Apr 2014 in Senate: Asante sana Bw. Spika wa Muda. Naomba pia kuchangia kama mama. Kama mnavyoniona, niko hapa peke yangu kama mwanamke Seneta. Ningependa kumshukuru kila mtu. Ningepende kutoa mawazo yangu kwa Kiongozi wa Wengi na Kiongozi wa Wachache. Naona hawafai kuleta mzaha katika kazi kwa sababu jambo hilo litatuharibia. Hii ni Bunge ambalo linaheshimika. Sote twajua tuko sawa. Tusiulete mzaha mwingi. Unapotamka neno, neno hilo huwa limeshatoka kwenye kinywa chako na hauwezi kulirudisha tena. view
  • 17 Apr 2014 in Senate: Samahani, Bw. Spika wa Muda. Noamba tusiwe na mizaha mingi. Naomba muwe na Pasaka njema nyote. view
  • 26 Mar 2014 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I sought a Statement three weeks ago from the Chairperson of the Committee on Roads and Communication regarding the jetties and the erosion which is taking place at the coastal strip, but to date, I have not heard any response. view
  • 26 Mar 2014 in Senate: Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir. I also stand to congratulate the Senate Majority Leader for this Motion. As we all know, once you fail to plan, you will plan to fail. So, this calendar is giving us ample time so that we can be relevant in this House. Mr. Deputy Speaker, Sir, we are going to implement whatever we are learning. We are also supposed to be seen and work with our community together. Mr. Deputy Speaker, Sir, I beg to support. view
  • 25 Mar 2014 in Senate: Shukran zangu za dhati, Bw. Spika wa Muda. Mimi pia nampa kongole Sen. Omar kwa Hoja hii aliyoileta. Pia mimi ni jirani ya Mombasa County. Mimi The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 20 Mar 2014 in Senate: Bwana Spika wa Muda, ningependa kuunga mkono Hoja hii. Mimi kama mkaaji wa Kilifi, Hoja hii inanihusu sana. Hawa wazee, hawafai kujengewa makao. Wazazi wetu ndio wanaofanya twende nyumbani. Kwa hivyo, nimeshukuru kwamba watakuwa nyumbani na sisi. Kila mtu ambaye ana mtu mzee nyumbani huwa anatamani kwenda nyumbani. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus