All parliamentary appearances

Entries 61 to 70 of 97.

  • 5 Nov 2014 in Senate: hawapati chochote. Daktari anabadilishi magari lakini nurse hata kiatu hawezi kubadilisha. Kwa hayo, nauunga Hoja hii mkono. view
  • 22 Oct 2014 in Senate: Asante sana, Bw. Spika. Ninachukua nafasi hii kuunga mkono Hotuba iliyotelewa na Mhe. Rais wa Kenya. Kwanza ningependa kuwapongeza Wabunge wa mrengo wa CORD ambao walikuja kuhudhuria kikao hiko kufuatia mwito wa Rais kwa sababu yeye ni Rais wa kila mtu katika taifa hili. Ilikuwa na faida gani kutengewa viti kwenye Bunge na kuamua kutohudhuria na bado unaonekana kwenye runinga ukiongea mambo mengine. Ilikuwa ni aibu kubwa sana. Kwa nini msiitikie mwito badala ya kukaa nyumbani na kujifanya hamna haja huku mnataka kujua kile ambacho anahutubia Bunge. Hilo ni jambo la huzuni sana. Bw. Spika, Rais wa Kenya alijitoa mhanga ... view

  • 21 Oct 2014 in Senate: On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir. On behalf of the Muslims, once somebody is dead, we term it as hypocrisy to come and discuss them. You will never say that they were bad; you keep on just saying the good side of them. That is why we never have any eulogy; we just bury and forget. So, the late Prof. Mazrui--- view
  • 21 Oct 2014 in Senate: Let us allow the late Prof. Mazrui to rest in peace. view
  • 21 Oct 2014 in Senate: On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir. On behalf of the Muslims, once somebody is dead, we term it as hypocrisy to come and discuss them. You will never say that they were bad; you keep on just saying the good side of them. That is why we never have any eulogy; we just bury and forget. So, the late Prof. Mazrui--- view
  • 22 Sep 2014 in Senate: Madam Temporary Speaker, I am a Member of that Committee. We will issue the Statement in two weeks’ time. view
  • 22 Sep 2014 in Senate: Madam Temporary Speaker, I am present and alive. view
  • 22 Sep 2014 in Senate: Madam Temporary Speaker, Thursday, this week is okay with me. view
  • 5 Aug 2014 in Senate: No, Mr. Chairperson, Sir. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus