16 Nov 2023 in Senate:
Asante Bw. Spika wa Muda. Ningependa kuwasilisha Mswada wa Kahawa wa 2023. Nimeudhamini kwa sababu ya wakulima wa kahawa nchini.
view

The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate.

Kahawa ndio bidhaa ya pili yenye mauzo ya juu duniani. Mafuta ndiyo ya kwanza. Kwa muda mrefu sana, wakulima hawa wamekuwa na shida nyingi kwa sababu ya wakiritimba ambao hufaidika kutoka kwa mazao ya kahawa. Mkulima anapopeleka kahawa katika kiwanda cha kusagia, mambo yake yanafika pale. Kahawa inapelekwa kwa millers, agents, marketers na brokers kabla kufika soko kuu la kahawa, Nairobi Coffee Exchange (NCE). Mkulima hatajua bei ambayo anafaa kuuza kahawa yake. Kahawa, majani chai na bidhaa zingine, ndio baadhi ya mazao yanayopelekwa sokoni na wakulima wasijue bei. Bei ya kahawa imekuwa inatolewa na wanunuzi. Wakulima hawajaweza kupata bei nzuri ...

Mkulima anapoteza pesa zake katika hiki kizungumkuti. Kwenye Mswada ambao tumewasilisha, tunapendekeza kuwepo kwa Direct

Pesa zitakazokusanywa zitafikia mkulima ili kuondoa wakiritimba ambao wanapangia pesa ya mkulima pasipo kumhusisha. Jambo la pili ni Warehouse Receipt System. Usimamizi wa kahawa katika maghala baada ya kuchunwa na kuwasilishwa. Mkulima anapopata mnunuzi wa kahawa hata kama ametoka nje ya nchi, lazima kuwe na idhini na makaratasi ambayo itapigwa sahihi kuhakikisha kwamba amekubaliana na bei ya kahawa na pia amekubali kuuza kahawa yake. Mswada huu umependekeza njia mbili za kuuza kahawa. Mkulima anawezawasilisha kahawa katika soko la kahawa la Nairobi Coffee Exchange. Pia anaweza kuuza kahawa moja kwa moja hadi nchi za ngámbo. Kwenye njia hizi mbili, pesa itapitia ...