Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 111 to 120 of 417.

  • 8 Aug 2024 in Senate: (iv) Provide the Bill of Quantities (BQs) for each project and their current implementation status or development stage. I thank you. view
  • 8 Aug 2024 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. On behalf of Sen. Wakili Sigei, I rise pursuant to Standing Order No.53 (1) to seek a statement from the Standing Committee on Agriculture, Livestock and Fisheries regarding, stalled or abandoned infrastructure projects in Bomet County. Several incomplete and abandoned agricultural infrastructure projects in Bomet County represent a significant waste of public resources and have deprived the residents of Bomet services and benefits they rightfully deserve. I would like to highlight specific projects that have remained incomplete or abandoned for between three to 10 years, leading to a substantial waste of public resources: Menet Tea ... view
  • 8 Aug 2024 in Senate: Signed by Sen. Wakili Hillary Sigei, MP, Senator for Bomet County. Thank you, Mr. Speaker, Sir. Now, the Floor is open for purposes of contributing to the statements that have been requested. Proceed, Sen. Muhammad Chute. view
  • 9 Jul 2024 in Senate: Bw. Mstahiki Spika wa Muda, asante sana kwa kunipa hii nafasi. Kwanza, nashukuru Kiongozi wa Walio Wengi na Kiongozi wa Walio Wachache Katika Seneti kwa kuketi pamoja na kuona ni vizuri tuwe na kikao kujadili yaliyotupata na yaliyowapata watoto wetu. Pili, ningependa kutuma risala za rambirambi kwa waliofariki katika mapambano ya kutafuta haki. Pia, nina watakia nafuu ya haraka waliojeruhiwa na walio katika hospitali tunapozungumza sasa hivi. Jambo lililotupata kutoka kwa wale Gen Z waliojitokeza ni kwa sababu ya mambo ambayo yamekuwa yakiendelea. Ukiniruhusu, nitaanza kwa kujibu kwa sababu kuna matamshi yaliyotolewa na Sen. Methu na yakarudiwa pia na Seneta ... view
  • 9 Jul 2024 in Senate: Nikiwa Mwenyekiti wa Kamati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi na Uchumi Samawati, jambo tulilolianza kama Kamati bila kulazimishwa ni kuhakikisha ukweli unajulikana. Seneti ina utaratibu na anayejali kusoma anajua kuna utaribu fulani. Siku ya leo ilikuwa iwe siku ya mwisho tuliyokuwa tumewaalika Waziri na washika dau wote waliohusika na haya mambo ya mbolea ili tumalize na tulete taarifa ya mwisho ya mambo yaliyotendeka. Niseme ya kwamba, tunapofanya uchunguzi, sio jambo linalochukua siku moja au mbili. Tumemaliza uchunguzi hata kabla taasisi ya usalama ya Upelelezi wa Jinai (DCI) kumaliza. Kwa hivyo, hata kama sisi hatujapelekwa mafunzo, sisi tumemaliza na tarehe 21 ... view
  • 9 Jul 2024 in Senate: waliambiwa ni vijana na kesho. Kesho ikapita na kukaja kesho kutwa. Kesho kutwa ikapita na kukawa na mtondo na mtondogoo, kitondo na hata ikafika kitojo. Wameona siku yao haifiki na malalamishi yao hayasikizwi. Juzi, nilikuwa kwa mkutano uliokuwa na kijana mmoja aliye mhandisi wa programu za tarakilishi. Tulikutana naye mahali alipokuwa anafanya kazi ya uchukuzi na upakiaji wa mizigo katika shirika la uchukuzi la G4S. Yeye ni mhandisi. Amejaribu kutafuta kazi bila kufanikiwa. Tunapoangazia ufisadi, inafaa tuangazie hadi kwa gatuzi zetu. Ukienda kwa gatuzi yangu ya Kirinyaga, utapata kuna mgao wa asilimia 30 unaofaa kwenda kwa akina mama, vijana na ... view
  • 9 Jul 2024 in Senate: Hivyo basi, naomba, pia katika gatuzi zetu ambapo pesa zinaenda kwa wingi sana, lazima tuhakikishe sheria ya ununuzi wa bidhaa inazingatiwa. Haiwezekani ya kwamba ukizunguka katika gatuzi nyingi hakuna kijana hata mmoja amefaidika. Ni wale mabwenyenye wachache wanaoandikisha wasichana wao na Gen Z wanakosa kazi. Kwa upande wa ukulima, maji ni tatizo. Kwa hivyo, hata tunapojaribu kuwapa njia mbadala na kuwaambia watafute kazi, tunasahau ya kwamba vifaa na mtaji wa kufanya kazi haupo. Ukienda kwa benki zetu, riba ni kuanzia asilimia 18 hadi 20. Wakati tunatangaza nyadhifa za kazi na kuwaambia wale vijana wawe na uzoefu wa miaka mitano, je, ... view
  • 9 Jul 2024 in Senate: . Ukienda kwa Kaunti ya Kirinyaga, utapata wale walioomba mikopo kutoka kwa benki wakiwepo wanarika na kufanya kazi walizopewa, pesa zao zilizama na hata wa leo hawajawahi kuzipata. Ili wapate zile pesa, lazima watoe mlungula. Kazi ngumu ya msaraghambo na ya kutafuta fedha na kufanya kazi inakuwa haina faida. Imefikia mahali pa wale vijana kutoka nje kutukumbusha ya kwamba kuna shida katika nchi hii na lazima tuiangalie. Tukienda kwa idara ya michezo iliyogatuliwa na kuangalia pale kwetu Kirinyaga, pia najawa na huzuni. Vijana wamefanywa watu wa kucheza kandanda vijijini na malipo ni viatu na sare tu za kucheza mpira. Hakuna ... view
  • 9 Jul 2024 in Senate: vijana hujitokeza wengi sana. Sijawahi kuelewa sababu ya vijana The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view
  • 9 Jul 2024 in Senate: watokelezee 1,000 halafu tunawachukua watano tu. Lazima tutafute njia mbadala ambayo hata kama ni ya kiteknologia ili wale ambao wanatafuta zile ajira watakuwa wanafanya zile application pale kabla ya kufika uwanjani, ili tuweze pia kumaliza kabisa ufisadi unaoendelea na pia ubaguzi wakati wa kupeana kazi. Kwa hivyo, mimi kama Mwenyeketi wa Kamati ya Ukulima, Uvuvi na Uchumi Samawati, yaliyosemwa nimeyasikia na nimeahidi ya kwamba sisi tumefanya msaragambo au kazi ngumu na tumemaliza. Tarehe 21 tumewaita wale washikadau wote kuhakisha kwamba tumemaliza ile taarifa ya upelelezi ya mbolea gushi. Tutakuja kuiwasilisha hapa na tumefuata Katiba na sheria zote za Seneti ambazo ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus