Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 131 to 140 of 424.

  • 11 Jun 2024 in Senate: zilijengwa na county kwa mbao zikiwekwa chuma ili watoto wetu wawe na usalama wakati wanapovuka, kuenda na kurudi kutoka shuleni. Ningependa kuona madawa katika hospitali zetu. Ningependa ninapo uliza swali nijibiwe kama Seneta kwa sababu saa hii tuko pamoja wakati tunapotafuta pesa lakini wakati tunapopeleka pesa mashinani huwa tunachukuliwa kama tingatinga ambazo zinajenga barabara; ujenzi ukikamilika zinabebwa ili zisiharibu barabara hizo. Ningependa wanakandarasi wale ambao walifanya kazi katika Kaunti ya Kirinyaga na hawajalipwa, waweze kulipwa pesa zao. Pia, ningependa kuona pesa za bursary ambazo zinapewa wanafunzi wetu zimeongezeka ili waweze kwenda shule. Bw. Spika, kazi kubwa ya Seneta ni hii ... view
  • 22 May 2024 in Senate: Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir, for giving me this opportunity. I beg to ask the Cabinet Secretary for Agriculture and Livestock Development Question No.047. (a) What measures is the Government taking to ensure that Kenya’s coffee and coffee products comply with the requirement of the European Union Deforestation Regulations (EUDR) that coffee not to be sourced from areas affected by deforestation or forest degradation after 30th December, 2024? (b) Which Government institution is leading the efforts to collect the geolocation coordinates of the coffee producing farms as required by the EU Regulations? (c) Could the Cabinet Secretary also state ... view
  • 22 May 2024 in Senate: (d) What is the budgetary allocation for maintaining a comprehensive and accessible database of the geolocation data for land under coffee plantations? Thank you. view
  • 22 May 2024 in Senate: Naibu wa Spika, swali ningependa kumuuliza Waziri ni ikiwa anayo uhakika kwamba ifikapo mwisho wa mwezi ujao, tutakuwa tunauza kahawa katika nchi ya Uingereza kwa sababu ndiyo inanunua kahawa nyingi sana kutoka Kenya. Haya ni ili tuwe na utulivu tukijua kwamba mambo yako sawa. Tusijipate pahali pembamba itakapofika Juni kisha tuambiwe hakuna soko. Atupe uhakika kwamba ifikapo Juni tutauza kahawa bila matatizo yoyote kuhusu sheria mpya za Muungano wa Nchi za Ulaya. view
  • 22 May 2024 in Senate: Aweze kuhakiki. view
  • 22 May 2024 in Senate: Ndiyo view
  • 15 May 2024 in Senate: Bw. Spika, kama vile Seneta wa Tana River amesema, kuna jambo ambalo limetokea ambapo linastahili Waziri aje hapa. Kuna European Union Deforestation Regulations (EUDR) ambazo zinapendekeza kukomesha uuzaji wa kahawa katika nchi za nje. Sheria hiyo itaanza kutekelezwa mwezi ujao. Nilikuwa natarajia kuwa Waziri atahudhuria kikao hiki kwa sababu ifikapo mwakani, hatutaweza kufikia soko yetu kubwa kule ulaya kwa sababu ya kanuni za ukataji wa miti. Ingekuwa muhimu awe hapa ili ajibu maswali. view
  • 15 May 2024 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view
  • 15 May 2024 in Senate: Tumemaliza ripoti yetu kama Kamati ya Kilimo, Mifugo an Uvuvi na tutaiwasilisha katika Bunge hili. Ripoti hiyo inaeleza mambo tuliyopata katika sakata ya mbolea ghushi. view
  • 15 May 2024 in Senate: Asante sana Bi. Spika wa Muda. Yangu yatakuwa ni maoni nikiongea kama Mwenyekiti wa Kamati ya Ukulima, Uvuvi, Mifugo na Uchumi Samawati. Kati ya maswali ambayo yanaulizwa hapa kama Kamati tungeweza kujibu. Kwa hivyo, ningetaka niseme kama Mwenyekiti kwamba nasikitika kidogo kwa sababu mialiko ambayo tumekuwa tukifanya sikuona Katibu wa Kudumu Katika Wizara ya Uchumi Samawati. Ningeomba, tunapoitana tena waje kwa sababu katika shughuli muhimu na maswali yanayoulizwa na Seneti ambayo ni muhimu, tumeshindwa kujibu kwa wakati tunaopewa kwa mujibu wa sheria na Kanuni za Kudumu za Seneti kwa sababu ya kukosa kuwajibika na kuwaona katika Kamati ya Ukulima. Hilo ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus