26 Mar 2024 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, sukari imekuwa tamu kwa wenye wanaitumia lakini imekuwa chungu kwa wakulima. Wakati tumekuwa tukizunguka kama Kamati ya Ukulima, Uvuvi, Mifugo na Uchumi Samawati, katika maeneo yanayokuza sukari, tumejionea wakulima ambao wamenyanyaswa na kuteseka kwa muda kwa sababu ya sharia na usimamizi mbaya wa kampuni za sukari nchini. Mswada uliotufikia kupitia mdhamini Sen. Wafula, ulifanya tuzuru mashinani na kuongea na wakulima wenyewe kama ilivyo kawaida yetu. Tulienda katika maeneo ya Busia, Bungoma, Kakamega hadi Chemelil katika Kaunti ya Kisumu. Tulipokea nakala kutoka kwa wakulima wa miwa kutoka Kaunti ya Kwale pamoja na malalamishi yao. Nawashukuru Maseneta wote ...
view
26 Mar 2024 in Senate:
Vyama vya ushirika vya kusaga miwa kama Nzoia Sugar hawajawalipa wafanyikazi mishahara yao ilhali miwa inavunwa na kupelekwa katika viwanda hivi. Hili ni jambo la kutia hofu. Tuliweza kuweka zoning kwa mipaka ili tuangalie mahali ambapo miwa inapelekwa na pia kwenye uchaguzi wa wanaosimamia ukulima wa miwa. Katika bodi ya Sukari, Seneti hii ilihakikisha kuwa wakulima wana waakilishi wengi zaidi ili malalamiko ya wakulima itatuliwe na kama kuna upigaji kura katika jambo linalotokea sauti ya mkulima itasikizwa. Bw. Spika wa Muda, baada ya miwa kusagwa na sukari kuuzwa, kuna matokeo ya pembejeni ambayo inabaki katika mitambo kama “sukari nguru” na ...
view
21 Mar 2024 in Senate:
Mr. Chairperson, I beg to move that the Committee do report to the Senate in consideration of the Coffee Bill (Senate Bills No.10 of 2023) and its approval thereof with amendments.
view
21 Mar 2024 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate.
view
21 Mar 2024 in Senate:
Madam Temporary Speaker, I beg to move that the House do agree with the Committee of the Whole on the said Report and I call on the Senate Majority Leader, Sen. Cheruiyot to Second.
view
21 Mar 2024 in Senate:
Madam Temporary Speaker, I beg to move that the Coffee Bill (Senate Bills No.10 of 2023), be now read a Third Time. I call upon the Senate Majority Leader, Sen. Cheruiyot, to second.
view
29 Feb 2024 in Senate:
Asante sana, Mustahiki Spika, kwa kunipa nafasi kuchangia Hoja hii kuhusu shida zinazowakabili wale watu waliostaafu kupata pesa zao za uzeeni. Kirinyaga ni mojawapo ya eneo ambalo kuna watu kama hawa. Mimi binafsi nimehuzunika nikizika babangu mdogo kule Kirinyaga kwa sababu ya cancer - na akafa bila kulipwa malipo yake ya uzeeni kutoka mwaka wa 2012 hadi alipokufa. Alikuwa akifanya kazi katika hospitali ya Rufaa ya Kirinyaga. Ni mojawapo wa wengi walionifikia wakilalamika kutolipwa pesa zao za uzeeni. Harambee nyingi zinazofanyika siku hizi ni kwa sababu ya watu wasiolipwa pesa zao za uzeeni ilhali walijitolea mhanga katika kupeana huduma katika ...
view
29 Feb 2024 in Senate:
kulipa pesa zao za uzeeni ila mkataba bado haujatiwa saini ili kuhakikisha wale watu wamepata pesa zao. Nashukuru kwa bidii iliofanywa kule Kirinyaga ila naomba kwamba waendelee kwa kila kaunti kupatia kipaumbele mipango ya kulipa pesa ya wale watu waliofanya kazi katika Kaunti zetu. Mizigo ambayo wale wazee wanapata ni sisi kama viongozi tunaokabili pamoja na watoto wa wale tuliokuwa tunajivunia kwamba wanafanya kazi katika gatuzi zetu za Kenya. Mustahiki Spika, nashukuru Kamati inayoongozwa na Seneta wa Vihiga, Sen. Osotsi, kwa kazi nzuri na ngumu walioifanya na kuweka nakala na stakabadhi ambazo tunazitegemea siku ya leo kuchangia katika Hoja hii ...
view
28 Feb 2024 in Senate:
Thank you, Mr. Speaker, Sir for giving me this opportunity. I will be asking two Questions. a) Could the Cabinet Secretary provide details of all water projects budgeted for by the National Government in Kirinyaga County in the Financial Year 2023/2024? b) Are there plans to supply water to residents of Muratiri area in Gichugu Constituency through the Kerugoya-Kutus Water Supply Project by installing additional water distribution pipes and, if so, could the Cabinet Secretary indicate the timelines? I thank you.
view
28 Feb 2024 in Senate:
Asante, Bw. Spika. Niko na maswali mawili ya ziada. Kwanza, Waziri anafahamu kuwa Taasisi ya Tana Water Works ambayo inafaa kupeana huduma za maji Nyeri, Kirinyaga, Tharaka-Nithi, Embu na Meru hadi Marsabit, haijapata pesa ambazo inafaa kuwa imepata, katika robo ya tatu ya mwaka wa bajeti wa mwaka The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate.
view