Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 221 to 230 of 424.

  • 5 Oct 2023 in Senate: Asante sana, Mstahiki Spika wa Muda. Leo ni siku ya huzuni. Kama kuna siku ambayo tunafaa kuwa tumeungana tukijadili maneno ni leo. Kifo sio kitu cha kutaniana. Nimetoka Kirinyaga Kaunti ambapo nimezika watoto zaidi ya kumi na watano saa hii. Ni watoto ambao wamekuwa wakifanya kazi katika vyombo vya usalama kwa sababu ya michafuko. Hii ndio maana nasema kwamba huu ni kama mtego wa panya, unaingia waliokuwemo na wasiokuwemo. Kwa hivyo, tunapoongea mambo ya usalama Sondu, Turkana, Marsabit na kwingineko, ni vizuri tujue ya kwamba jambo hili tunahusika sote na linaweza kutupata. Pia juzi nimekuwa Turkana na jana nimekuwa Migori ... view
  • 5 Oct 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate. view
  • 5 Oct 2023 in Senate: Kimeru huko ndani na Kikuyu kwa umbali wakisema kwamba kila mahali watu wote ni wetu. Tunapoongea na kuzungumzia Taarifa hii, tujue ya kwamba tulicho nayo moyoni sasa kama mimi nikiwa ni kiongozi, kuna kiongozi wa sehemu ile pia aliye na chake cha kusema. Kwa hivyo, tukiongea tuchunge tusiongee maneno ambayo yanaweza kuchochea chuki zaidi na kuleta maafa mengi. Asante sana, Bw. Spika wa Muda. view
  • 27 Sep 2023 in National Assembly: No, we are asking. We are not directing! view
  • 26 Sep 2023 in National Assembly: It is not our fault. view
  • 26 Sep 2023 in National Assembly: Bw. Naibu Spika, niruhusu niseme kitu kwa sababu mimi nimekuwa ni mtu wa kupiga makofi na kutumbuiza wengine wakisonga. Naona kama sasa ukipea nafasi ambayo inakuja, mimi niliyepitwa mara tatu, tena nitapitwa niwe wa mwisho tena. view
  • 26 Sep 2023 in National Assembly: Bw. Naibu Spika, angalia kama sasa, itabidi niseme tu. view
  • 26 Sep 2023 in National Assembly: Bw. Naibu Spika, yule aliyekuwa akiongea, akiongea tena tutakuwa watu sita tena tutaenda mwisho na inachokesha kupanga laini na kuketi na kupiga makofi. view
  • 26 Sep 2023 in National Assembly: Bw. Naibu wa Spika, ni ya kitambo sana. view
  • 26 Sep 2023 in National Assembly: Bw. Naibu Spika, Mathayo 20:16- “Yesu akamaliza kwa kusema, “hivyo, walio wa mwisho watakuwa wa kwanza na wa kwanza watakuwa wa mwisho.” Siri ni kufika ukiwa umechelewa ili uweze kuongea mapema. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus