Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 231 to 240 of 356.

  • 21 Jun 2023 in Senate: Reference to 53. Any reference to the Agriculture and Food written laws. Authority in any written law or in any contract, document or view
  • 21 Jun 2023 in Senate: instrument of whatever nature, in relation to cotton, shall, on the appointed day, be read and construed as a reference to the Board. view
  • 21 Jun 2023 in Senate: Asante, Bw. Spika wa Muda kwa kunipa hii nafasi kumuuliza Waziri wa Kilimo swali. Yangu sio mengi. Kwanza naomba nikushukuru Mhe. Waziri. Waswahili husema, mghala muue na haki yake mpe. Kwanza ninakushukuru kwa ile kazi umefanya kuhusu mbolea. Leo nimetoka Mwea na ile shida ambayo ilikuwa kwa wakulima, umeitatua kwa muda mfupi sana. Kwa sasa, wakulima wamefurahi. Jambo dogo tuu ni kwamba tufunge maneno ya fertilizer aina ya 1717 na 23, na tupange maneno ya ndege kwa sababu ya wale Quela. view
  • 21 Jun 2023 in Senate: La pili ni mambo na mchele. Umetupatia mbolea. Tunalima mchele Mwea, Bunyala, Ahero na Bura na tutalima mchele wa kutosha. Kwa hivyo, ninaomba wakati mnafanya uamuzi wa kununua mchele kutoka nje, mhakikishe ya kwamba ule mchele ambao tutalima kwa hiyo mbolea ya ruzuku, mmeuchukua wote ili wakulima wafurahie. Kuna kiwanda ambacho kinaitwa MRGM. Kilichukuliwa mchele na KNTC, ambayo ninajua haiko kwa Wizara yako. Lakini, toka Desemba hadi leo, hawajalipwa pesa zao. Wameanza kukopa pesa ili wapande mchele kwa sababu huu ni msimu wa upanzi. Ninaomba pia uzungumze na Waziri wa Kilimo pia, ili walipwe ndio wasikope pesa ama pembejeo za ... view
  • 21 Jun 2023 in Senate: Asante sana kwa kazi unayofanya. view
  • 21 Jun 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate. view
  • 21 Jun 2023 in Senate: Madam Temporary Chairperson, I beg to Move: - THAT, the Bill be amended by inserting the following New Clause 54- view
  • 21 Jun 2023 in Senate: Previous view
  • 21 Jun 2023 in Senate: Madam Temporary Chairperson, I beg to Move: _ THAT, the Bill be amended by inserting the following New Clause 55- Staff view
  • 21 Jun 2023 in Senate: Madam Temporary Chairperson, I beg to Move- THAT Clause 2 of the Bill be amended by inserting the following definitions immediately after — a) the definition of “chief executive officer” — view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus