20 Jun 2023 in Senate:
Asante, Bi. Spika wa muda, kwa kunipa nafasi hii nichangie Mswada huu wa kuboresha kilimo ulioletwa na Sen. Tabitha Mutinda. Niruhusu nirudi nyuma kidogo wakati nilipokua mtoto kule kijijini. Nilipokuwa mtoto, tulikuwa tunatazama magari mengine madogo yaliyokuwa yakiitwa Suzuki. Maafisa wa kuboresha ukulima katika jamii walikua wanazunguka kila siku na magari yale. Ng’ombe walikua wanaelekezwa kwenye zizi kando ya barabara na ulipotaka mbegu ulizipokea. Haya yote yalifanywa ili kuboresha mbegu za ng’ombe. Huduma ile ilikua inapatikana katika kaunti zote. Haya ni mambo ambayo sijawahi ona katika kaunti nimetoka. Nauunga huu Mswada mkono. Kuna umuhimu mkubwa wa kuweka maafisa wa kutosha ...
view
20 Jun 2023 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate.
view
20 Jun 2023 in Senate:
pia mitambo ya kisasa. Huduma hizi zinafaa kuwa katika ugatuzi ili wakulima waepuke kusafiri hadi maabara ya Serikali Kuu ambayo yako mbali ili kupata huduma. Hivi karibuni nilizuru kiwanda cha kusaga kahawa ya Kibirigwi. Wanapambana sana kule. Wameajiri mtu ambaye wanamlipa wenyewe ili kuboresha miche ya Kahawa, ile ili watoe mazao mengi ya kahawa ya Arabica. Kama Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Kilimo, Mifugo, Uvuvi na Umwagiliaji Maji, nauunga mkono Mswada huu ili ufaidi watu wetu. Nachukua nafasi hii kushukuru Serikali Kuu kwa sababu nimekuwa nafuata kwa karibu bei ya mbolea ya ruzuku ambayo inaenda kulima mchele kule kata ...
view
25 May 2023 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, I rise pursuant to Standing Order No. 53 (1) to seek a Statement on Standing Committee on Health regarding the amputation of Baby Ridhwan Yasir Noor’s finger at Kerugoya County Referral Hospital in a suspected case of medical negligence. In the Statement, the Committee should-
view
25 May 2023 in Senate:
(1) Explain the circumstances that led to the amputation of one-year-old Baby Ridhwan Yasir Noor’s fingers while undergoing treatment for pneumonia at Kerugoya County Referral Hospital on 7th March 2023? (2) Clarify whether the amputation was a result of medical negligence and neglect of duty by hospital administration and medics. (3) State the steps taken, if any, by the Ministry of Health to ensure that justice is served to the victim, stating the actions that will be taken against the medical practitioners involved. (4) Provide details on the level of adherence to medical safety and precaution measures in the administration ...
view
25 May 2023 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, I rise pursuant to Standing Order 53(1) to seek a Statement from the Standing Committee on Education on the establishment of a public teacher training college in Kirinyaga County. In the Statement, the Committee should- (1) Explain the reasons the Government has not established a public teacher training college in Kirinyaga County despite establishing many such colleges in other counties. (2) State key considerations made by the Government before establishing a public teacher training college in a county. (3) Spell out measures, if any, that the Ministry of Education has put in place to establish a ...
view
25 May 2023 in Senate:
Lastly, Mr. Deputy Speaker, Sir, I rise pursuant to Standing Order 53 (1) to seek a Statement from the Standing Committee on Health regarding the delayed construction of Kenya Medical Research Institute (KEMRI) Wamumu Station Medical Facility in Mwea West Sub-County, Kirinyaga County. In the Statement, the Committee should- (1) Apprise the Senate on the nature of the medical facility intended to be constructed on the 100-acre piece of public land given to the KEMRI by the Kirinyaga County Government stating the works to be undertaken and the range of services to be offered once the facility is complete. (2) ...
view
25 May 2023 in Senate:
Asante sana, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii niongee kuhusu Mswada tulio nao mbele yetu kuhusu pamba.
view
25 May 2023 in Senate:
Sen. Olekina, I am very sober.
view
25 May 2023 in Senate:
Asante, Bi. Spika wa Muda. Ningependa kuelezea Seneta wa Nandi kwamba, wakati watu wanafanya ushirikishwaji wa umma, hawatumii miguu kama wakiritimba wanaouza ng’ombe. Inabidi kuwe na malazi na vitu vingine vinavyohitajika.
view