Ruweida Mohamed Obo

Parties & Coalitions

Born

1978

Telephone

0722222784

All parliamentary appearances

Entries 271 to 280 of 439.

  • 12 Jun 2019 in National Assembly: yeye kama Kiongozi wa Walio Wengi, anafanya nini? Ikiwa kuna view
  • 12 Jun 2019 in National Assembly: tunajua Serikali huchukua hatua kuwalinda, sio kuwatishia. Yeye anafanya nini? Amezoea. Wakati nilipoenda na Atwoli, alinitishia; saa hii anatutishia. Mara anatuita f lower girls. Ni haki hiyo? Is it fair? The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 24 Apr 2019 in National Assembly: On a point of order, Hon. Deputy Speaker. view
  • 24 Apr 2019 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika, siasa ni nyumbani. Niliahidi watu wangu na nilipata target ya Kshs10.7million ya akina mama wa Lamu for the firsttime. Period. view
  • 24 Apr 2019 in National Assembly: Ahsante, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi ya kuzungumzia Hotuba ya Rais. Mwanzo, ningependa kumpongeza Rais. Alizungumza kama watu 100 hata zaidi ya 1,000. Alizungumza kama kiongozi. Alizungumzia mambo ambayo yatatuleta pamoja. Nchi nyingine Afrika zinatutaja vibaya kwa sababu ya mambo mawili ambayo Rais alizungumzia. Wenzetu wanatusengenya. Hapa Afrika Mashariki, wanasema shida yetu Wakenya ni kwamba baada ya uchaguzi, tunagombana kisha tunarudi nyuma. Ikiwa majirani wanatuona Rais akizungumza, kwa nini watu wasione amezungumza jambo zuri. Jambo la pili majirani wetu wanatuzungumzia vibaya ni ufisadi. Kupata uwiano na nchi nyingine inakuwa vigumu kwa sababu wanatuogopa. Ikiwa Rais ametambua na ... view
  • 24 Apr 2019 in National Assembly: Sisikii. view
  • 24 Apr 2019 in National Assembly: Asante. Nashangaa nikiona Mhe. akiuliza mambo haya na sisi tunaumia. Kwani anaunga mkono ulanguzi wa dawa za kulevya? view
  • 24 Apr 2019 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika wa Muda, mimi ni mama na ninaumwa na hali yetu. Waheshimiwa wakienda kule wataona hali yetu. Ninataka kupongeza Serikali kwa yale inafanya saa hii. Inafaa msako uhakikishe walanguzi wa dawa za kulevya katika Lamu wameshikwa. Ninataka kumuunga mkono Rais. Inafaa ahakikishe amemaliza dawa za kulevya, ufisadi na alete watu pamoja. Mhe. Naibu Spika wa Muda, ninaona taa imewaka na dakika zangu zimechukuliwa. Ninaomba nipewe nafasi zaidi. view
  • 24 Apr 2019 in National Assembly: Vifo vingi vinatokea Lamu. Msichana mdogo wa miaka 23 ameuawa kwa kukatwa na panga kwa sababu ya ulanguzi wa dawa za kulevya. Ninaomba Serikali ihurumie watu wa Lamu kwa sababu tunamalizwa na ulanguzi wa dawa za kulevya. Ninaomba Rais asikie kilio cha watu wa Lamu. Tumeisha, hasa Wabajuni. Kule dawa zimetumaliza. Msichana mdogo na akinamama… view
  • 26 Mar 2019 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. There is need for better enforcement of various laws and conventions due to improvement of understanding of different Government agencies’ mandates and the value of uniform application of procedures in different borders with Tanzania. We also noted that, although the Chair has already given some of the view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus