Ruweida Mohamed Obo

Parties & Coalitions

Born

1978

Telephone

0722222784

All parliamentary appearances

Entries 261 to 270 of 439.

  • 6 Aug 2019 in National Assembly: Asante, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii ya kuchangia Mswada huu. Naunga mkono Mswada kwa sababu halmashauri hii imekuwa ikijikakamua zaidi na imefanya kazi nzuri. Naunga mkono yale Mhe. aliyependekeza kwamba kuwe na kamati na pesa zitengwe kwa sababu ya hili janga. Ningependa kuiambia halmashauri hii kwamba Lamu inahesabiwa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 6 Aug 2019 in National Assembly: kama sehemu ambazo mvua hunyesha lakini sehemu kama Kiunga hakunyeshi. Watu wa Kiunga si wavivu, ni watu wa kwenda mashambani kulima. Hata hivyo, hawawezi kwenda kwa mashamba kwa sababu ya utovu wa usalama. Watu kama hawa watafanywa vipi? Sehemu ya Kiunga ni sehemu ya oparesheni. Sehemu za Kiunga na Basuba Ward ambazo ziko Lamu East, na upande wa Hindi Witu, watu wa Lamu wanapata shida. Tumelalamika kwamba mashamba yako na mvua, ipo lakini hatuwezi kwenda kulima. Kuna watu kutoka Basuba Ward ambao wameenda Kiunga. Wamekaa huko na wanawasomesha watoto wao huko. Halmashauri kama hii inafaa iwafikirie watu kama hawa. Witu ... view

  • 27 Jun 2019 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker for giving me this opportunity to ask Question No.302/2019 to the Cabinet Secretary for Education. (i) Is the Cabinet Secretary aware that Mangai, Milimani, Basuba, Kiangwi, and Mararani primary schools in Basuba Ward of Lamu County have been closed for the last four years due to insecurity and, as a result, most of the former pupils have flocked to Kiunga Ward leading to overcrowded classrooms that are now straining under scarce resources? (ii) What measures is the Ministry putting in place to facilitate primary schools in Kiunga Ward with requisite facilities such as additional classrooms, learning ... view
  • 13 Jun 2019 in National Assembly: Jambo la nidhamu, Bw. Spika. Kuna kitendo kimetokea cha kuwapiga akina mama na kimeanzia hapa Bungeni. Ninaomba utusaidie. Hapa Bungeni, tuliambiwa sisi ni endangered species. Leo kuna kitendo kimetokea Bungeni ambapo Wajir County Woman Representative, Fatuma Gedi, amepigwa na mwanamume mwingine. Kama kitendo hiki hakikanywi vikali, sisi wengine tutapigwa. view
  • 13 Jun 2019 in National Assembly: Sisi pia tunataka viti. Sisi hatuna ruhusa ya kuongea, na kwa hivyo tunapigwa. Kama ni nguvu, hatuwawezi. view
  • 13 Jun 2019 in National Assembly: Bwana Spika, sijui itabidi tutafute askari ili tuje nao ndani ya Chamber kwa maana tunasikia kuna immunity hapa. Ili wengine watunyamazishe, wanataka kutupiga kwani hawajui kwamba wanawake hawapigwi. Especially sisi wanawake wa Coast, wanaume huwa wanatubembeleza. Sisi tunapigwa na leso. Wanatuletea vitu na si kutupiga. view
  • 13 Jun 2019 in National Assembly: Sijui ni tabia gani hii ya kupiga wanawake. Imetoka wapi? Mimi sijaona kwa hizo field zingine. view
  • 13 Jun 2019 in National Assembly: The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 12 Jun 2019 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika, je ni haki kwa Kiongozi wa Walio Wengi kutumia nafasi yake, siku zote hapa kwa Bunge, kutishia akina mama? Siku zote anatishia maisha ya akina mama. Kila kitu kinachofanywa, anatishia wanawake. Akisema view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus