Ruweida Mohamed Obo

Parties & Coalitions

Born

1978

Telephone

0722222784

All parliamentary appearances

Entries 251 to 260 of 439.

  • 10 Sep 2019 in National Assembly: wanapaswa watumie. Inabidi asiangalie yale aangalie hayo mengine. Kwa mfano, kuna wakati hapa hapa Afrika ambapo ndege iliwahi kuanguka. Sababu haikuwa mtu kuleta utovu wa usalama lakini abiria alibeba mnyama. Alipoingia kwenye ndege, The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 10 Sep 2019 in National Assembly: akatoka kwa kikapu, watu wakasongea upande mmoja na ndege ikaanguka. Wakati mwingine abiria anaweza kuleta fujo mpaka kupigana, watu wasonge upande mmoja, kukakosa ule usawa wa ndege na ndege huenda ikaanguka. Ni muhimu kuwa na usalama wa ndege, abiria na mizigo. Kuna mengi ya kusema lakini naunga mkono usalama uwepo. Lakini pia tusiangalie tu usalama ndani ya ndege. Usalama ni wingi kwa ndege. Kwa mfano, Serikali yetu ya Kenya au Wizara husika ya Uchukuzi inafaa iangalie vifaa vinavyotumika kwa ndege viwe vya kisasa. Kwa mfano, kuna kifaa ambacho kinaitwa VHF omnidirectional range (VOR). Hicho kinafaa kisaidie ndege katika kupaa kwake ... view
  • 10 Sep 2019 in National Assembly: ambazo marubani, wahudumu na hata wale waekezaji wote wanafuata. Ni kuzitilia mkazo ili zifuatwe zaidi. view
  • 10 Sep 2019 in National Assembly: Asante sana. Nimejaribu kutafuta nafasi kuweka ishara ya nidhamu. Hata kama ametuchekesha, namuomba atembelee Lamu, hasa visiwa vya Shella na Pate, ajionee warembo kisha tuone kama atasema kwamba Kenya hawajazaliwa bado. Kenya wamezaliwa. Hata sisi ukituangalia utajua kwamba wakati wetu tungekuwa nasi view
  • 10 Sep 2019 in National Assembly: nafikiri angefurahia huduma yetu. Kwa hivyo, wasichana wetu Wakenya ni warembo. Hakuna nchi hapa Afrika Mashariki inatuweza kwa urembo. view
  • 10 Sep 2019 in National Assembly: Asante. Mhe. Naibu Spika wa Muda, tumechangia sana. Ningependa kuchukua nafasi hii pia kupongeza KCAA. Nimetoka hapo nje kupiga simu kwa marubani kadhaa kuwauliza kama pengine kuna shida zaidi kwa sababu mimi sijarusha ndege kwa miaka kama miwili. Wameniambia saa hii KCAA wanafanya kazi nzuri na kwamba wamefunga ukanda. Zaidi ni kwamba kutoka tupate ile safari ya kwenda Amerika, wamejaribu zaidi. Sehemu nyingi wameziba mashimo. Hiyo ni kazi nzuri. Nawapongeza sana KCAA. Tukizungumzia mambo ya ndege na viwanda, itakuwa si vyema watu wa Lamu wakiniangalia nikiyazungumzia hayo. Katika Kaunti ya Lamu, kiwanja cha ndege ni kimoja. Kitambo, ungeweza kutoka nchi ... view
  • 10 Sep 2019 in National Assembly: ndege. Saa hii vyote havina viwanja vya ndege. Saa hii, kukitokea mgonjwa usiku na bahari ni chafu au mgonjwa akitakikana kuletwa Nairobi kwa ndege… Sehemu kama vile Maasai Mara kunawekwa mataa ili ndege zishuke kumchukuwa mgonjwa ambaye anatakikana kusafirishwa hadi Nairobi. Lamu, hilo haliwezekani hata tukitaka. Ni mpaka mtu apitie bahari chafu na shida nyingi. Naomba Kamati hii izingatie mambo hayo. Haiwezekani kuwa na kisiwa ambacho kina watu zaidi ya 18,000 na kiwe hakina kiwanja kidogo cha ndege ambapo ndege ndogo ndogo zinaweza kutoa mtu wakati wa dharura. Hata kuhusu usalama, najua eneo la Lamu lilivyo. Itawasaidia sana watu wa ... view
  • 7 Aug 2019 in National Assembly: Hon. Deputy Speaker, I beg to ask the Cabinet Secretary for Interior and Coordination of National Government the following Question: (i) Could the Cabinet Secretary explain why there are several police road blocks along Malindi-Lamu Road which inconvenience road users? (ii) Could the Cabinet Secretary explain why drug trafficking and insecurity are still rampant in Lamu County despite the presence of the said road blocks? Thank you. view
  • 7 Aug 2019 in National Assembly: Hon. Deputy Speaker, I beg to ask the Cabinet Secretary for Interior and Coordination of National Government the following Question: (i) Could the Cabinet Secretary explain why there are several police road blocks along Malindi-Lamu Road which inconvenience road users? (ii) Could the Cabinet Secretary explain why drug trafficking and insecurity are still rampant in Lamu County despite the presence of the said road blocks? Thank you. view
  • 6 Aug 2019 in National Assembly: Asante, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii ya kuchangia Mswada huu. Naunga mkono Mswada kwa sababu halmashauri hii imekuwa ikijikakamua zaidi na imefanya kazi nzuri. Naunga mkono yale Mhe. aliyependekeza kwamba kuwe na kamati na pesa zitengwe kwa sababu ya hili janga. Ningependa kuiambia halmashauri hii kwamba Lamu inahesabiwa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus