Ruweida Mohamed Obo

Parties & Coalitions

Born

1978

Telephone

0722222784

All parliamentary appearances

Entries 401 to 410 of 439.

  • 3 May 2018 in National Assembly: Hon. Deputy Speaker, that is why I am here; kutetea watu wangu. view
  • 3 May 2018 in National Assembly: I, the undersigned, on behalf of the residents of Lamu County, draw the attention of the House to the following: THAT, mangrove trees are assemblage of salt tolerant trees and shrubs that grow in the inter-tidal regions of the tropical and subtropical coastlines; THAT, mangrove trees grow luxuriantly in places where freshwater mixes with seawater and where sediment is composed of accumulated deposits of mud; THAT, mangrove trees protect vulnerable coastlines from wave action because they hold the soil together and prevent coastal erosion; THAT, mangrove forests provide homes for several species of plants and animals; THAT, in Kenya, mangrove ... view
  • 3 May 2018 in National Assembly: THAT, residents of Ndau, Kiwayu, Faza, Kizingitini, Pate, Siyu, Manda, Kizuke and Mkunumbi have since time immemorial entirely depended on logging of mangrove forests for their livelihood; THAT, following the ban, more than 15,000 families been affected and are living in abject poverty; THAT, loss of livelihood has caused rise of insecurity in Lamu County; THAT, efforts to resolve this matter with the relevant Government agencies have been futile; and, THAT, the matter presented in this Petition is not pending before any tribunal, court of law or independent body. Therefore, your humble Petitioners pray that the National Assembly, through the ... view
  • 26 Apr 2018 in National Assembly: Asante sana, Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii ili niweze kuchangia Hoja hii. Kwanza ningependa kumpongeza Mhe. Alfred Keter kwa kuileta. Lamu County iko na tatizo hili. Wabunge wakisimama wanataja Tana River, Garissa na sehemu nyingine, lakini hawataji Lamu. Kuna miji mitatu pia ambayo inafurika kule Lamu; Moa, Chalaluma na Dide Waride. Kama majirani wa Tana River Kaunti wakipata tatizo, inabidi waje Lamu. Kwa hivyo,Wizara ikifanya mipango yoyote wajue kuna Lamu County. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 26 Apr 2018 in National Assembly: Tunashukuru Red Cross kwa usaidizi wao kwa wananchi. Kuna wanyama kama ng’ombe na hata binadamu ambao walikua wamefungiwa na maji, imebidi watolewe. Mashamba yameharibika na maji yamefika kwa manyumba. Kuna watu wanatolewa sasa hivi, wamepewa ilani watoke maeneo yao na waende maeneo mengine. Serikali kupitia kwa Wizara ya Special Planning inafanya kazi nzuri. Wizara inayohusika na usalama ni kubwa sana, ikipewa majukumu kama haya, yatapotelea humo. Ningeomba Wizara ya Special Planning ipate kusaidia watu wetu. Watu wana shida, watoto hawaendi shuleni, watu wana njaa, kuna shida ya mbu na tunahitaji neti na chakula pia. Naunga mkono Hoja hii. Asante. view
  • 24 Apr 2018 in National Assembly: Ahsante sana, Mheshimiwa Naibu Spika. Ningependa kutoa rambirambi zangu. Watu wa Lamu kuelekea Baringo, Mungu amweke mahali pema peponi Mhe. Grace. Tunamwombea Mungu. Ameonyesha mfano bora na huu ugonjwa wa saratani, inafaa tuushughulikie zaidi. Saratani ipo kwa kweli na inauwa watu wengi Kenya. Kwa hivyo, ni wakati wetu sisi kama Wabunge kuhakikisha kama ni Mswada au Hoja tupitishe ili watu watibiwe vizuri and kushughulikiwa vizuri. Mheshimiwa amekuwa mfano mwema kwetu. Tumesikia habari zake hata sisi tunamheshimu na Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi. Ahsante. view
  • 24 Apr 2018 in National Assembly: Thank you, Hon. Deputy Speaker. This is a public Petition on alleged impending demolition of buildings along Mtandawanda-Kizingitini Road. I, the undersigned, on behalf of the residents of Pate Island, draw the attention of the House to the following: THAT, the Government, through the Kenya Rural Roads Authority (KeRRA), has commenced the construction of Mtandawanda-Kizingitini Road in Pate Island, Lamu County; THAT, since the commencement of the road construction project, some structures have been earmarked for demolition to pave way for the construction of the said road; THAT, contrary to the Government policy where residents and, in particular, property owners ... view
  • 18 Apr 2018 in National Assembly: Ahsante Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii ili nichangie. Suala hili linatuathiri hata sisi Wabunge. Kuna wale waliogombea viti vya ubunge lakini hawakufanikiwa kupata. Ingekuwa vyema wapate huduma za ushauri nasaha kwa sababu wamebaki tu kwenye Facebook wakitutukana. Nafikiri kuna ugonjwa fulani ambao umewaingia. Inafaa washauriwe kwa nasaha. Hata sisi tukitoka hapa na tusifanikiwe kurudi tena, inafaa tushauriwe ili tujue namna ya kuwahudumia watu wetu. view
  • 18 Apr 2018 in National Assembly: Pia inastahili ushauri upatiwe wanaotafuta kura au wale ambao hawakupata kiti chochote ambacho walikuwa wakiwania. Wao hupata shida sana wanapokosa ushindi ama kuteuliwa. Pia, watu wengi hupata shida wakati wanatarajia jambo fulani lakini halitokei. Wanafaa wapate ushauri nasaha. Katika depression kuna viwango tofauti kama vile kutokubali. Kuna viwango vingi ambavyo mtu hupitia kabla ya kufikia depression . view
  • 18 Apr 2018 in National Assembly: Haya yanatokea zaidi kule Lamu kwa maafisa wa Serikali. Kwa mfano, polisi wakikaa pahali kama Kiunga kwa muda mrefu, wanasumbuka akili hadi wengine hutatizika kwa utenda kazi wao. Wanasumbua wananchi kusudi washtakiwe ili wapate faida ya kutolewa mahali hapo kwa sababu wamekaa kwa muda mrefu, kwa mfano, miaka saba. Wanahitaji ushauri nasaha ili wasaidike. Hata walimu wanahitaji huduma hizi. Walimu wanaofanya kazi kule Kiongwe, Boni Forest, wanastahili wapate huduma hizi kwa sababu sehemu hii ni ya kutisha. Inawasumbua akili hadi familia zao zinatatizika. Saa nyingine wanafanya vitendo vya kushangaza hadi unajiuliza kama wao ni binadamu au la. Kumbe huwa ni ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus