7 Dec 2023 in National Assembly:
Mwanzo, jambo hilo linawapatia popularity na wao hutaka kujulikana kwa media . Wahalifu wote kutoka Kiambu na kaunti nyingine wanaenda kujificha huko. Kuna mmoja alishikwa kule Salama, Lamu baada ya kujificha kwa miaka minane. Alikuwa most wantedcriminal huku na akakimbilia kule Lamu. The Directorate of Criminal Investigations (DCI) imeshika mtu kule, lakini isiwe ni magaidi tu. Kuna wahalifu wanaokimbia viziwani na kwenda Kisauni kwa sababu kuna Wabajuni wengine ambao wamejificha kule. Kuna wahalifu wanaojificha kule Salama, Wida na kwingineko. Ninaomba Serikali iingilie kati na kushughulikia jambo hili kwa kina na kutumia nguvu zote kulitatua. Limetuathiri zaidi na ninataka likome.
view

6 Dec 2023 in National Assembly:
Hon. Speaker, I, the undersigned, on behalf of the residents of Lamu East Constituency, draw the attention of the House to the following: THAT, Boni-Lungi is an area of land between Dodori and Boni National Reserves in Lamu East Constituency measuring approximately 39,925.7 hectares, and is inhabited by over 480 households of the Aweer Community; THAT, Article 56 of the Constitution obliges the Government to put in place affirmative action programmes for minorities and marginalised groups. Further, the National Land Policy calls for protection of land rights from unjust and illegal dispossession of both vulnerable and minority communities; THAT, vide ...
view
30 Nov 2023 in National Assembly:
Asante, Mhe. Spika, kwa kunipatia nafasi hii niwakaribishe wasichana wangu wa shule ya Upili ya Pate. Ninashukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia kufika hapa. Ninawashukuru familia nzima ya Pate Girls. Wao kuletwa hapa ni mfumo tuliouweka Lamu Mashariki – kwamba anayeongoza, iwe shule ya msingi au ya upili, watakuja kutembea Nairobi. Mwaka wa 2022, Pate Girls walikuwa number one Lamu East. Ndio maana wamekuja hapa leo. Nilikuwa nimeng’ang’ana nitimize ahadi yangu kabla hatujapata majibu ya 2023. Tuombe Mungu waje hapa tena; na kama si wao, waje wengine.

Ninachukua fursa hii niwasihi watoto wangu wazuri. Ninajua maeneo tunayotoka. Mnaskia vile Wabunge wanavyozungumzia mambo ya maeneo magumu. Nyinyi mnajua maeneo magumu ina maanisha nini. Ni nyinyi wenyewe mubadilishe kule. Sisi tunang’ang’ana. Elimu ndiyo itatufanya sisi tuyabadilishe yasiwe maeneo magumu.

29 Nov 2023 in National Assembly:
Ahsante Bw. Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii ili nichangie hili Baraza la Kitaifa la Wazee. Wazee ni baraka. Tunaelewa vizuri kwamba wazee wamefanya kazi na kustaafu. Lakini wao wamestaafu kwa sababu ya miaka tu, lakini tumbo halijastaafu. Tumbo lataka kuangaliwa vile vile kila siku. Kuna haja kubwa ya wazee kuangaliwa na kupangiwa mipango mizuri ili wawe baraka kwetu; isiwe ni usumbufu kwetu.

Wazee ni watu ambao wamefanya kazi na wamepoteza nguvu zao. Wanafaa kuangaliwa vizuri. Yaweza kuwa watoto wana muda wa kuangalia wazee, na yaweza kuwa watoto wakorofi au wale ambao hawakupata mafunzo vizuri au wakashikana na mambo mengine wasiangalie wazazi wao. Itakuwa jukumu la Serikali kuangalia hao Wazee. Isiwe wamewekwa kwenye vipembe ama wamefungiwa kwenye manyumba. Wazee wakati huo ndio tunaona wengine wanatembea. Ukienda Masaai Mara, na nimefanya kazi Masaai Mara kwa miaka 13, wageni wengi ni wazee. Wakati huo ndipo wamekuja kutembea. Pengine wamekuja na wajukuu wao au wamekuja wenyewe vizere viwili kutembea. Huku kwetu mambo kama hayo huyapati. Unapata ...
view