24 Apr 2024 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Speaker.
view
23 Apr 2024 in National Assembly:
Asante sana, Mhe. Spika, kwa kunipatia nafasi nitoe rambirambi zangu na familia yangu, pamoja na watu wangu wa Lamu Mashariki kwa familia ya Generali Ogolla na familia ya wanaanga ambaye Generali Ogolla mwenyewe alikuwa rubani. Kwa familia yote ya aviation fraternity natoa rambirambi.

Mhe. Spika, pia nachukua nafasi hii kutoa rambirambi kwa familia za maafisa wote wa KDF waliofariki wakifanya kazi ya kuchunga nchi yetu. Sisi wana Lamu Mashariki tunatumia KDF tunapopatwa na jambo. Hili ndilo eneo Bunge pekee ambalo walimu hupelekwa shule kama wamebebwa na KDF. Shule zote ambazo ziko Boni Forest lazima watu wabebwe na KDF.

Nilibahatika kuwa na Generali Ogolla katika ofisi yake tarehe 11 mwezi huu, kabla ya mauti yake. Kwa hakika, alikuwa na ari ya kuhakikisha nchi imepata amani. Mimi sikushtuka nilipoambiwa yeye mwenyewe alikuwa ameenda kutembelea zile shule. Hii ni kwa sababu aliniambia atakuja Lamu Mashariki kutembelea sehemu ya Boni na zingine. Mwenyezi Mungu apatie familia yake subra na awasaidie pale kwenye pengo. Asante.

29 Feb 2024 in National Assembly:
Asante sana, Mheshimiwa Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii ili nikaribishe wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mt. Kenya, Parklands Law Campus. Wamekuja na kiongozi wao, Bw. Swabir, ambaye ni mwanafunzi kutoka Lamu Mashariki. Watu wanasema watu wa eneo la Lamu Mashariki hawasomi. Hata hivyo, watu wamesoma, ingawa si wengi. Ninachukua nafasi hii niwaambie wanafunzi wa Lamu Mashariki kwamba watu wamekuwa wakisema anga ndio kikomo, lakini saa hii wanasema anga sio kikomo. Nafasi zipo. Wakitaka kusoma, wasome. Saa hii kuna bursary na wafadhili wengi. Kuna wafadhili wengi ambao husaidia wanaosoma sheria au udaktari. Vilevile, ninachukua nafasi hii niwakaribishe wanafunzi hawa ...
view
28 Feb 2024 in National Assembly:
Hon. Deputy Speaker, I beg to give notice of the following Motion. THAT, aware that Article 239 provides for the National Security Organs, including the Kenya Defence Forces; further aware that, the Kenya Defence and Kenya Special Forces play an indispensable role in promoting and safeguarding national security in accordance with the Constitution; recognising that members of the Forces face life-threating risks as they carry out their duties to protect our citizens, particularly in high-risk and volatile areas; noting that there is currently no token of appreciation for the remarkable dedication, service and sacrifices made by the Kenya Defence and ...
view
28 Feb 2024 in National Assembly:
Asante, Mhe. Naibu Spika, kwa kunipatia nafasi ya kuchangia Mswada huu. Ninaunga mkono moja kwa moja. Ninamshukuru Mhe. Mejjadonk Benjamin kwa kuleta Mswada huu. Ninaunga mkono wafanyakazi wa serikali wote wastaafu wakiwa na miaka 60. Sasa, Waziri ama wakubwa wa Serikali wana haki ya kuongeza wafanyakazi mwaka mmoja, miwili mpaka miaka mitano. Hii inadhulumu wengine.
view