Shariff Athman Ali

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 181 to 190 of 512.

  • 29 Nov 2023 in National Assembly: pengine wataka ardhi yake, ama pengine watoto wake wamekushinda. Tunataka Serikali iweke mikakati ya kusaidia hao wazee. Mtu akiyafanya mambo kama hayo, liwe funzo kwa wengine wasiweze kuyafanya tena. Inasikitisha. Pale kwetu, sisi tunafundishwa kuheshimu wazee wa wengine na majirani zaidi hata kushinda wako. Kisha upate mtu anamuita mzee mchawi. Yeye ndiye mchawi. Itabidi baraza hili liangalie mbinu, bali na mambo ya matibabu. Itabidi baraza hili litumike kama view

  • 29 Nov 2023 in National Assembly: ) kwa wanawake. Washtaki na wafuatilie kesi moja ili iwe funzo kwa wengine na wazee wetu wapate heshima na kuishi vyema. view

  • 29 Nov 2023 in National Assembly: Bwana Spika wa Muda, wakati mmoja nilienda Singapore, na wazee huko hutunzwa vizuri. Madereva wa taxi wote walikuwa ni wazee. Si vyema kumwambia mzee wa miaka 60 ambaye amestaafu kukaa katika nyumba za wazee na kungoja kutunzwa. Kwa nini tusiwape moyo wazee hawa kwa kuwawezesha kufanya mambo mengine mengi baada ya kustaafu? Wazee wakipangiwa mambo ya kufanya katika maisha ya uzeeni, basi watakuwa na maisha bora. Nilitangulia kusema kuwa wazee ni baraka. Binadamu hustaafu, lakini tumbo halistaafu. Tuweze kuweka mikakati ya kuwawezesha wazee kufanya kazi ndogo ndogo. Sisi huambiwa kuwa baada ya miaka 60, watu hukaa na kungoja kifo. Kifo ... view

  • 29 Nov 2023 in National Assembly: Ahsante Bwana Spika wa Muda. view

  • 23 Nov 2023 in National Assembly: Ahsante Mheshimiwa Spika wa Muda. Nashukuru kwa kunipatia nafasi nichangie kuhusu haya mambo ya kitamaduni. Utamaduni ni muhimu sana. Bidhaa zetu ambazo zimechukuliwa hapa Kenya zikaenda nje na ambazo ni za kitamaduni ni vyema zirejeshwe. Hivi vitu vya kitamaduni vinaleta pesa. Niliwahi kwenda Uturuki nikaenda kwenye Makavazi yao. Hayo Makavazi wameweka vitu ambavyo huku kwetu si muhimu sana. Kitu kama kiinu ama jiwe la kusaga. Kabla hatujapata hizi vitu tunaziita The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 23 Nov 2023 in National Assembly: tulikuwa zamani tukitumia jiwe la kusaga. Hizo kwetu ziko mpaka sasa. Hapa Kenya jamii nyingi zinazo lakini hazionyeshi ni kama ni kitu muhimu. Kule kwao wanachukulia umuhimu wa vile vitu. Wameviweka kwenye nyumba nzuri, makavazi mazuri, ziko kwenye glesi na zinapendeza na watu wengi wanaenda kuangalia zikivutia uchumi. Sasa zile zetu zimechukuliwa huku wakaenda wakazipeleka kule zinawapatia pesa. Ni muhimu nazo zirudi na sisi nasi tuviweke vizuri na zile ambazo tuko nazo hazijaenda nje pia nazo tuziweke vizuri. Kila jamii ina tamaduni zake na zile tamaduni tunaona vitu vidogo vidogo tunaweza kuviweka watu wakaja na kusudi la kuviangalia vitu kama ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus