8 Nov 2023 in National Assembly:
Mhe. Naibu Spika, nikiuliza hili swali, litatenganisha watu wa Lamu sana. Sitaki tuonekane kama ni sisi dhidi ya wao. Itakaa ni kama ni vita baina ya sisi na wao, na litachangia zaidi utovu wa usalama. Ningeomba Waziri ajibu swali langu la pili na la tatu kwa maandishi. Swali la kwanza limepitwa na wakati, kwa sababu Waziri mwenyewe amewahi kulijibu katika vyombo vya habari. Ahsante.
view

18 Oct 2023 in National Assembly:
Hon. Speaker, pursuant to Standing Order 43, I wish to make a General Statement with regard to the alleged claims of ethnic cleansing in Lamu County. On Thursday, 5th October 2023, during her Maiden Speech in the House, the Women Representative of Lamu County, Hon. Muthoni Marubu, made allegations implying that the ongoing incidences of insecurity in Lamu County were a disguise for ethnic cleansing perpetrated by the indigenous people on the Agikuyu community in the region. I wish to put it on record that residents of Lamu County, including those from Iraq and Mkokoni sub-locations, who comprise persons from ...

Finally, I sympathise with those affected by the attacks and call upon all the Members of this House to unite in the fight against insecurity in Lamu and other vulnerable parts of the country.

Ahsante, Mhe. Naibu Spika. Ningependa kuchangia ombi hili. Usalama wa ndege na abiria wake ni muhimu. Hakuna mtu anayetaka ukosefu wa usalama. Ndege na maisha ya binadamu ni ghali. Kwa hivyo, kila mtu anayeitumia ndege na hata wale wasioitumia wanataka usalama wa ndege na abiria wake uangaliwe.

(KCAA) hutoa Certificate of Airworthiness kwa mashirika ya ndege. Certificate hiyo hutolewa upya baada ya muda fulani. Kwa hivyo, kama kuna matatizo ya ndege, inamaanisha kuwa tatizo liko na KCAA wala siyo shirika la ndege. Hii ni kwa sababu KCAA wako na inspectors ambao lazima wafanye inspection na kuenda angani na ndege hiyo kabla wapeane license . Ninataka kushauri kuwa tuweke wataalamu katika hiyo Public Petitions Committee watakaosaidia kuchunguza hiyo Petition kwa sababu kuna masuala ya kiufundi ambayo mtaalamu anaweza kuyafahamu. Kwa mfano, kama kuna combustion katika ndege, lazima itoe moshi. Ikiwa hakuna moshi, inamaanisha kuwa hakuna combustion . Pia, ...