7 Dec 2023 in National Assembly:
Katika eneo Bunge langu, Lamu Mashariki, tumeathirika kiuchumi. Watu wanaoishi katika Wadi za Basuba na Kiunga wanaathirika sana kwa upande wa kupeleka chakula. Saa hii kuna mafuriko ambayo yamesababisha shida ingine. Usafiri ni shida kwa sababu ya magaidi. Wanaweka Improvised Explosive Devices (IEDs) kwenye barabara. Mtu akitoka Wadi ya Hindi kwenda Basuba hadi Kiunga, ni lazima atumie pikipiki kwa sababu barabara haitumiki saa hii. Hii imesababishwa na masuala ya ugaidi. Barabara iko lakini haitumiki kabisa.
view

Ninashukuru Serikali kwa sababu imeamua kuweka lami hiyo barabara. Saa hii haitumiki. Njia ya usafiri inayotumika ni pikipiki. Unalipa Ksh7,500 kubeba vifungu viwili vya unga ndio ufike sehemu hiyo. Eneo hilo lote la Basuba na Kiunga limeathirika kwa sababu maendeleo hayafanyiki. Ukitaka kupeleka mradi kule, unaambiwa haufanyiki kwa sababu ya utovu wa usalama. Yote yanatajwa kwa sababu ya mambo ya ugaidi.

Tumeteseka sana. Ninataka nizungumzie suala hili leo. Nina hofu ya kuunga au kukataa Hoja hii leo. Ikiwa ni suala la ugaidi, ni lazima nisome na nielewe. Mambo ambayo yanafanyika kule Lamu yanaleta utata na hatuyaelewi. Kuna watu ambao hutumia matukio ya ugaidi kufanya uhalifu wa wenyewe kwa wenyewe kisha uhalifu huo ukahesabika kama ugaidi. Hofu yangu kubwa ni kwamba watu wengine watatumia sheria kugandamiza jamii zingine ili ziitwe magaidi. Kuna utata kule Lamu. Kuna watu ambao wameuwawa kwa sababu ya biashara, au kutopendwa na ikasemekana kuwa huo ni ugaidi. Haya mambo yanafanyika na tunajua watu ambao wameuwawa na ikasemekana kuwa ...

Jambo hilo linatuogopesha. Lisije likatumika. Kwa mfano, ninasikitishwa sana na yale yanatendeka kule Lamu. Ndugu zetu waliokuja Lamu ni wenzetu, Kenya ni moja. Jamii hiyo imekuwa Lamu tangu tuwe wachanga na imekaa na wazee wetu vizuri bila chuki. Siasa zinapoanza, watu huuwawa. Wanapouwawa, hofu inaingia katika jamii. Unapowaambia waende kwa mashamba, wanasema wanaogopa kwa sababu wataonekana kule na kuitwa magaidi. Vijana hawajakuwa wakienda shambani; wanaenda baharini peke yake.

Jamii zingine zimehamia katika eneo hilo na kuendelea kuwa wengi hadi wakawa na kiburi na kusema kuwa watachukua viti vyote katika uchaguzi. Ninataka Serikali ichunguze suala la magaidi kwa sababu kuna mambo ambayo yamefanyika na watu wanajificha kwenye ugaidi. Kwa mfano, ningependa kuzungumzia jambo ambalo Wakenya hawalijui. Ningependa kulieleza hapa ili walijue. Kuna kanisa iliyochomwa, jambo ambalo lilileta vita kati ya Wakristo na Waislamu. Kuna watu ambao wanafaidika wanapowagombanisha Wabajuni au wakaazi wa Lamu na jamii zingine. Wanataka kuzidisha ugomvi wa kidini ili mtu ajinufaishe kisiasa.