Shariff Athman Ali

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 201 to 210 of 512.

  • 21 Nov 2023 in National Assembly: piki piki hazipiti. Bodaboda tu ndio zimekuwa mbinu ya usafiri pekee eneo hilo kwa sababu ya kuwekwa kwa improvised explosive device (IEDs) barabarani. Alhamdulilahi, tunashukuru kuwa mambo ya kuwekewa vilipuzi barabarani hayasikiki tena kwa sababu ya mvua. Lakini sasa hatuna mbinu za usafiri. Sasa hivi, hakuna usafiri wa aina yoyote kutoka Basuba kwenda Milimani. Upande wa Kiangwi kwenda Basuba pia barabara imekatika. Watu wanaoweza kufikiwa sasa ni wale wa Kiangwi tu. Sehemu nyingine zote ni lazima jeshi liende lisaidie. Tunaomba Kenya Defence Forces (KDF) wasichoke kusaidia wakaazi hawa. Cha kusikitisha mno ni kuwa Lamu Mashariki haipo katika orodha. Ukipigia National ... view
  • 21 Nov 2023 in National Assembly: ingeruhusiwa kutumika, basi ingetusaidia kwa kuwa hatujapata hata msaada wa kaunti. Katika Wadi ya Kiunga, mashamba yote yameingia maji. Watu hawatapata chakula msimu huu. Kaunti inashughulikia sehemu ambazo zina kura nyingi. view

  • 21 Nov 2023 in National Assembly: Wadi ya Basuba haiathiriki tu na mafuriko, siku zote wanalia maswala ya usalama. Kule ni matatizo zaidi. Nyumba za Basuba tunazijua. Wakaaji ni maskini na hata sijui kama wataweza kujenga tena bila msaada. Mafuriko yametuathiri. Ninaomba hatua za dharura zichukuliwe na Rais atangaze kuwa hili ni janga la kitaifa ili watu wapate msaada. Serikali ya kaunti inasaidia Lamu Magharibi tu. Haijafika Lamu Mashariki. Sijui mbona NDMA hawajafika pia. Nimewapigia simu na wanadai kuwa ni barabara tu imekatika na hakuna chochote wamefanya kusaidia. Sijui tukimbilie wapi sisi? Watu wanatutegemea na hatuna msaada wa kuwapatia. Sina mahali popote pa kutoa chakula cha ... view

  • 21 Nov 2023 in National Assembly: Asante Bi Spika wa Muda. view
  • 21 Nov 2023 in National Assembly: Asante Bi Spika wa Muda. view
  • 15 Nov 2023 in National Assembly: Asante Bw. Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi. Nilifurahia sana Hotuba ya Rais. Rais hakutupea dawa ya kutuliza maumivu, yaani ruuku; bali alipeana dawa ya kutibu ugonjwa. Dawa ya ruuku, au ukipenda painkiller, inatumika kutuliza maumivu kidogo, ugonjwa ungalipo. Rais anajua kwamba Kenya inaugua wapi na hataki kutupatia dawa ya kutuliza maumivu bali anataka kututibu. Saa hii ni wakati wake wa kutibu ugonjwa. Kiongozi lazima atibu ugonjwa na sio kuubembeleza. Rais ameweka mikakati mizuri ya kutibu ugonjwa huu. Nilifurahia zaidi Rais alipotaja jamii zilizotengwa. Alisema mengi lakini la muhimu sana ni swala la mifugo. Tunaona kuwa Rais anazingatia masilahi yetu ... view
  • 15 Nov 2023 in National Assembly: zikijengwa na zikifunguliwa. Tovuti ya kutua ya Kiunga ndio tu iliyosalia na Rais alihaidi kuitengeneza. Tunatajaria kuwa itatengenezwa. Tovuti ya kutua ya Mkowe pia imepangiwa kutengenezwa. Hili likifanyika, tutaweza kuvua na kuhifadhi samaki wengi. Rais alizungumzia maswala ya uchumi samawati kutoka moyoni. Kwa hiyo, tunaimani kuwa biashara ya uvuvi itaendelezwa na itasaidia Wakenya wote. Wengine wakipanda majani chai, sisi tunavua samaki na hivi ndivyo tutaendeleza nchi yetu ya Kenya. Lakini watu wakitaka tu maendeleo katika maeneo yao wakati sehemu zingine zinaachwa nyuma, mwishowe sote tunaumia. Jambo ambalo sikulifurahia ni aliposema kuwa maafisa wa polisi watachukuliwa kutoka miongoni mwa makurutu wa ... view
  • 14 Nov 2023 in National Assembly: Asante, Mhe. Spika. Kuna sababu maeneo bunge mengine huitwa maeneo ya ugumu. Hawa Wabunge wakisikia hivyo, wanafikiria zile pesa au faida watakazozipata. Ninakubali na ninaamini kuwa Kenya yote ni eneo la ugumu ama hardship area . Lakini, kuna wale ambao wana matatizo zaidi. Hili Bunge linafaa lifanye usawa kwa Wakenya wote. Pengine, Wabunge hawajui maana ya maeneo ya ugumu kwa vile hawakai huko na hawaelewi wengine wanapata matatizo gani. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus