19 Sep 2024 in Senate:
Jambo la kusikitisha zaidi, watoto wa kiislamu---
view
19 Sep 2024 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only.A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and Audio Services,Senate.
view
19 Sep 2024 in Senate:
Jambo la kusikitisha zaidi, watoto wa kiislamu wanashikwa kila uchao na baadaye hawapatikani, ama wapatikane wamekufa ama wasiachiliwe. Tunataka jambo hili likome. Polisi wakishika mtu, wampeleke kortini na kumshataki ili afungwe kisheria. Wakifanya hivyo, jamii yake itaamua kama itamuwekea mawakili ama itamsaidia namna gani ili arudi nyumbani. Asante Bw. Naibu Spika.
view
18 Sep 2024 in Senate:
Asante, Bw. Naibu Spika. Ningetaka kumuuliza Waziri kama anaelewa kwamba wote waliopata majeraha na kuumia wakati wa kile kitendo cha ugaidi kwenye nyumba ya ubalozi wa Marekani walikuwa Wakenya na wananchi ya Kiamerika. Je, Waziri ana habari kuwa wananchi wote wa Amerika walilipwa fidia, majeraha yao kuhudumiwa hospitalini na kuwa walitunzwa vizuri na nchi yao? Kwanza---
view
18 Sep 2024 in Senate:
Asante Bw. Spika wa Muda. Aliyoyasema mwisho ni ukweli.
view
18 Sep 2024 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate.
view
18 Sep 2024 in Senate:
Kwanza, naunga mkono Hoja hii ya kugeuza Kalenda yetu ya Seneti. Kunazo sababu zinazofanya tugeuze Kalenda hii. Kwanza, ile tarehe iliyowekwa ya Seneti Mashinani imebadilika hadi mwezi wa Kumi na Moja. Vile vile, Maseneta watapata nafasi ya kujiandaa kusafiri kuenda Busia kwa ratiba ya Seneti Mashinani. Natoa ushauri kwamba ni lazima tuzingatie seriousness katika Bunge la Seneti. Kuna hizi tabia tunazozianza za kutoa hoja za nidhamu wakati Seneta mwezako anapoongea na pengine hujapenda anachoongea. Seneta anasimama ama kubofya kile kidude kilichoko mbele yake na kusema anataka kutoa hoja ya nidhamu. Hoja ya nidhamu ninavyoielewa kwa wakati nimekuwa hapa ndani na ...
view
18 Sep 2024 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, ninaunga mkono ndugu yangu aliyeleta hii Hoja ya kusema tugeuze Kalenda na itakua ya matumizi zaidi. Asante.
view
17 Sep 2024 in Senate:
Mr. Temporary Speaker, Sir, I second.
view