12 May 2020 in Senate:
Ukitaka kumwachisha mtu kazi, ni sharti umueleze ni kosa gani alilofanya ama ni njia gani uliyofuata kama tajiri ili ukamwachisha kazi; hauwezi kumuachisha kazi vile unavyotaka.
view
12 May 2020 in Senate:
Bw. Naibu wa Spika, ukiangalia katika kaunti, mara nyingi utaona wafanya kazi
view
12 May 2020 in Senate:
iko chini. Hii ni kwa sababu stakabathi za masomo hazitiliwi uzito. Utapata mtu aliyesoma na kupata shahada ya PhD wanafanya kazi katika hospitali yetu kama hivi sasa wakati wa COVID-19 na ukilinganisha mishahara yao na wale wanaofanya kazi kama
view
12 May 2020 in Senate:
utaona kwamba mishahara ya Chief Officers iko juu kuliko mishahara ya madaktari. Mishahara inafaa kulingana na kiwango cha masomo na uzoefu wa mtu ili ratiba kama hiyo iweze kufuata katika kaunti zote 47. Asante Bw. Naibu wa Spika.
view
12 May 2020 in Senate:
Bw. Naibu Spika, kulingana na sheria zetu za Bunge Kipengele 47 (1) ninasimama kuongea kuhusu jambo ambalo linahusika na kaunti, kuhusu kubakwa na kuuawa kinyama kwa msichana, ilhali alikuwa ni mototo mdogo sana wa miaka 16. Anaitwa Margaret Shukrani Masha.
view
12 May 2020 in Senate:
Bw. Naibu Spika, Taarifa ambayo iko hapa ni katika lugha ya Kiingereza ambayo niliandika, lakini nimeitafsiri kwa Kiswahili.
view
12 May 2020 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, I stand guided. I thought it would be better if I spoke in my language, which my people who I represent in the Senate would understand. However, I still stand guided. Pursuant to Standing Order No.41 (1), I rise to make a Statement on the issue of countrywide concern, namely, the rape and coldblooded murder of a minor, namely Margaret Shukrani Masha on 4th February, 2002 at Bamba Police Station, in Bamba Ward, Kilifi County.
view
12 May 2020 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
12 May 2020 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, I rise to make this Statement on behalf of the people of Kilifi County, who in their wisdom, entrusted me with this position, and I hold utmost respect for them. The admiration for this Senate is unmatched. On the evening of Tuesday, 4th February, 2020 at about 8.00 p.m., the residents of Kilifi County in a small town of Bamba, and in particular the relatives and friends of Margaret Shukrani, were met with very devastating news that their girl who was aged 17 years was dead in a police station.
view
12 May 2020 in Senate:
Not yet, Mr. Deputy Speaker, Sir. You are still giving directions.
view