10 Nov 2016 in Senate:
Bw. Spika, naunga mkono ndugu zangu. Kwanza, nakushukuru sana kwa uamuzi uliofanya kuruhusu wafanyakazi wa kutoka Kaunti ya Kilifi kuja ili kujifundisha na kujionea jinsi Seneti inavyoendesha shughuli zake. Watapa mafunzo ya kutosha na wanaporudi nyumbani, nina hakika watafurahia kutokana na watakayojifundisha hapa. Pili, Bw. Spika, ninakushuru kwa kukubali mwito. Waswahili husema kwamba mtu hakatai mwito, hukataa analoitiwa. Wewe ulikuja kwa kukubali mwito na ulijionea wazi kwamba Serikali ya Kaunti ya Kilifi inawania kufanya kazi ya ugatuzi kisawasawa ili kuhakikisha kaunti zingine zinaiga mfano wake. Bw. Spika, asante sana. VISITING DELEGATION OF PUPILS AND TEACHERS FROM MUTHURWA ISLAMIC ACADEMY, NAIROBI ...
view
9 Nov 2016 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, let me confirm that there is no tribe called “Swahili.” The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate
view
9 Nov 2016 in Senate:
Asante, Bw. Spika. Sijui kama nimemuelewa vizuri Mwenyekiti aliposema kwamba hawezi kutoa matokeo au majibu ya wale waliofanyiwa mahojiano. Bunge la Seneti linahitaji kupata jawabu kikamilifu. Ni lazima Mwenyekiti atueleze kama kuna siri ambazo anaficha Bunge hili kuhusiana na uteuzi wa wakuu wa vyuo vikuu vyetu. Je, ni haki au sawa kwa Mwenyekiti kufanya hivyo? Ikiwa Bunge hili limeuliza maswali kikamilifu, ni lazima swali lijibiwe? Ni haki yeye kutuambia kuna siri fulani ambayo hawawezi kutuambia?
view
9 Nov 2016 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, nauliza swali kuhusu kila ukurasa. Nahitaji majibu kutokana na taarifa ya Mwenyekiti.
view
9 Nov 2016 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, ikiwa kuna bima ya mifugo, mbona mifugo katika Kilifi wanauzwa kwa bei ya chini kwa sababu ya ukame? Je, kwa nini hakuna bima ya mifugo katika Kaunti ya Kilifi? Nikimalizia, taarifa ya Mwenyekiti inasema kuwa Serikali inafanya mipango ya kusaidia. Huu si wakati wa kupanga. Taarifa hii inafaa kuongea juu ya mikakati ambayo imewekwa kukabiliana na janga hili. Ahadi kama hizi zingefaa kama hatungekuwa na janga la njaa. Hivi sasa, janga la njaa limetukumba na lazima tutafute suluhisho. Watu wamekumbwa na baa la njaa na mifugo wanaendelea kufa ilhali hakuna suluhisho mwafaka kutoka kwa Serikali. Bw. ...
view
9 Nov 2016 in Senate:
Hoja ya nidhamu, Bw. Spika. Bw. Waziri na wenzake walikuja kwa ndege na wakaondoka bila kugawa chakula.Walikuja tu kuangalia jinsi hali ilivyo. Kwa hivyo, huyu Mwenyekiti asijaribu kuepusha ukweli hapa Bungeni. Hilo analosema si ukweli hata kidogo.
view
9 Nov 2016 in Senate:
Thank you, Mr. Temporary Speaker, Sir. Relief food should not be used as a campaign tool. If the same thing could be put forth to the Chair, that would help him in his response.
view
8 Nov 2016 in Senate:
Thank you, Mr. Speaker, Sir. I would require at least two weeks to respond.
view
8 Nov 2016 in Senate:
Thank you, Mr. Speaker, Sir. DETENTION OF MR. PHILIP MBITHI MUTISO BY TANZANIAN AUTHORITIES
view
1 Nov 2016 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, this is a response to the question raised by Sen. Leshore on 13th June, 2016. There were three questions that were requested by the Senator. The first one was whether there is a policy on street families and the second was whether the policy focuses on persons with disabilities and urchins in the streets. Thirdly, whether the Ministry offers any support to street families. On whether there is a policy on street families, the Street Families Rehabilitation Trust Fund was established in 2003 through a Gazette Notice No.1558 by the then Local Government Minister, the late Hon. ...
view