Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1921 to 1930 of 2266.

  • 18 Oct 2016 in Senate: Bw. Spika, natumaini wakati wangu utaongezwa kidogo kwa sababu ya dakika zilizochukuliwa na yule kitinda mimba katika Seneti hii. view
  • 18 Oct 2016 in Senate: Uunajua vitinda mimba wako namna hiyo kila siku. Itakuwa vyema kama serikali za mashinani zitapewa pesa za kutosha ili zijenge maktaba ya kuifadhi vitabu vya watoto wetu ili waweze kusoma. Huduma hii ya vitabu wakati huu iko mikononi mwa Serikali ya Kitaifa. Huduma kama hii isimamiwe na serikali za mashinani maanake mtu anayevaa kiatu anajua pale kile kinamuuma zaidi. Bw. Spika, hata elimu ya msingi inaweza kusimamiwa na serikali za mashinani watoto wengi kule mashinani wapate elimu bora. Kwa hayo machache, ninaunga mkono Hoja hii kwamba huduma za barabara ziwe chini ya serikali za ugatuzi ama serikali za mashinani. view
  • 18 Oct 2016 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, I do not know whether I heard you right. In your earlier order, you said that the contributions will be four minutes. I do not know whether it is because my sister Dr. Zani who is one of our learned ladies from the Coast is very beautiful if I was to quote what my brother Sen. Sang has said. That is why you have added one extra minute. view
  • 11 Oct 2016 in Senate: Asante Bw. Spika. Sheria katika nchi hii iko wazi; ikiwa mfanyikazi wa Serikali ambaye anatakikana kumiliki chombo ambacho kinaweza kuhatarisha maisha, kunao umuhimu achukue majukumu wakati maisha ya mtu yamehatarishwa. Kulingana na majibu aliyosoma Mwenyekiti, ni kwamba hawana pesa za kugharamia maumivu ambayo huyu msichana aliweza kuathirika na ile risasi. Swali ni; katika mahakama zetu za Kenya, kila mtu anayepatikana na hatia ya kwamba aliweza kutupa risasi na ikaathiri Mkenya mwingine, serikali iko na jukumu la kuchukua wadhifa huo na kuona ya kwamba mtu huyo amefidiwa Imekuwaje Mwenyekiti hivi sasa anakuja na majibu ambayo ni aibu katika wizara iliyoko katika ... view
  • 11 Oct 2016 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. My Chairman is not in and I will hold brief for him. The question has not been answered or we have not received any response. I would, therefore, ask the House to give us an extra week so as to give us time to follow up the matter and ensure that the substantive question is answered. view
  • 11 Oct 2016 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. I will put myself in the same shoes and I will answer in the same way I answered the other question from Sen. Nabwala. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate view
  • 11 Oct 2016 in Senate: Mr. Speaker, Sir, let me rephrase my statement. We need seven days to be in a position to respond to that question. view
  • 11 Oct 2016 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. I said earlier that I had withdrawn that line of approach. I now want to affirm that we need at least seven days to be in a position to respond to that question. view
  • 11 Oct 2016 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. I do agree with the sentiments of my colleagues. We have tried our best as much as possible and we need a bit of time. We will be summoning the Cabinet Secretary (CS) to appear before the Committee so that he answers some of these questions. That is why I had earlier asked for seven days which is not a long time. We will be in a position to give a substantive response to this question. view
  • 14 Sep 2016 in Senate: No, Mr. Deputy Speaker, Sir. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus