Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1971 to 1980 of 2263.

  • 22 Mar 2016 in Senate: Asante, Bw. Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii. Kwanza, namshukuru yule aliyechapisha Mswada huu na kuuleta katika Bunge ili tuweze kujadiliana. Mswada huu ni muhimu sana kwa watu wa Pwani na pengine watu wa Nyanza kwa sababu wao pia wana Ziwa Victoria. Bw. Spika wa Muda, Mswada huu unazingatia zaidi uvuvi na kuangalia hali ya samaki itakayoleta faida katika nchi yetu. Kwanza, tunashukuru kwa sababu kwa miaka mingi, watu wa Pwani wametegemea uvuvi ili kuishi. Uvuvi ni kama chakula kwa watu wa Pwani. Sisi huwa tunapata chakula kutokana na uvuvi. Pia, tunafurahia tunapoangalia bahari na kuona kweli hatukumuomba Mwenyezi ... view
  • 22 Mar 2016 in Senate: Tuko na msemo kule kwetu unaosema: “Wavuvi wa pweza hukutana mwambani.” Maana ya msemo huu ni kwamba hata tukifanya nini sisi ni watu wa pwani, tutakutana mwambani tujue faida za uvuvi wa pweza. Mswada huu unapendekeza kuundwa kwa shirika ambalo litahakikisha kuwa wavuvi wanapata faida. Kwanza, tunajua kwamba vitu kama ngozi ya samaki wale wakubwa vina manufaa. Samaki kama papa na nguru pia wana faida yao kwa sababu nyama yao ikiuzwa, mvuvi anafaidika. Ulimwenguni kuna utalii wa aina tofauti. Kuna utalii wa kwenda baharini na hata wa mbuga za wanyama. Utalii unaofanyika Pwani ni wa baharini ambapo kuna mashindano ya ... view
  • 16 Mar 2016 in Senate: Asante Bi Spika wa Muda kwa nafasi hii. Nashukuru kwa wafanyakazi wa Bunge la Kaunti ya Kilifi kufika hapa ili kujifundisha jinsi kazi inavyo endelea katika Bunge hili la Seneti. Bunge letu la Kaunti liko Malindi. Ningependa kuwashukuru watu wa Malindi kwa ushujaa wao waliouonyesha wakati wa uchaguzi mdogo wa juzi. Walionyesha msimamo wao na kwamba hawatakubali kununuliwa kwa pesa. Mwisho, wafanyakazi hawa wataendelea kujifunza ili wakirudi nyumbani waendeleze shughuli za serikali zetu za ugatuzi. view

  • 16 Mar 2016 in Senate: Madam Temporary Speaker, the distinguished Senator who sought that Statement is not in. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate view

  • 16 Mar 2016 in Senate: I am sorry, Madam Temporary Speaker, I was looking at a different copy. We had a discussion with the Senator who sought this Statement and I told her I am not comfortable with the response that I had received from the Ministry, in view of the fact that the figures that were given, and given the fact that the Youth Enterprise Fund management board had been suspended, we are not sure whether the figures given are correct. I had told her that I had contacted the Ministry responsible to confirm whether the figures stated are the same ones that caused ... view

  • 10 Mar 2016 in Senate: Asante, Bw. Spika, kwa kuwakaribisha wenzangu kutoka huko nyumbani, Kaunti ya Kilifi. Ninafikiri katika matembezi yao hapa, watajifunza mengi kuhusiana na jinsi ambavyo sisi tunaendelea hapa katika Bunge la Seneti na hasa katika Kamati yao ya Energy. view
  • 9 Mar 2016 in Senate: Mr. Speaker, Sir, this is an answer pursuant to the provisions of Standing Order No. 45(2) of the Senate Standing Orders. Sen. Okong’o sought a statement on the doping menace amongst Kenyan athletes on Wednesday, 17th February, 2016. In particular, the distinguished Senator sought to be informed the following:- The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus