Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1951 to 1960 of 2263.

  • 6 Jul 2016 in Senate: Exactly. Further, I have not received the response from the Ministry responsible. view
  • 15 Jun 2016 in Senate: Bw. Spika wa Muda, mimi pia niliweza kufika katika kituo cha polisi cha Pangani leo asubuhi. Nilienda pale kama wakili wa wale walioshikwa. Nilikuwa nimeambatana na Sen. Musila. Tulitaka kuzungumza na mkuu wa kituo hicho anayeitwa Bw. Benjamin Kisela. Baada ya kumwambia kuwa mimi ni wakili na vile vile Seneta na kwamba nilikuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Kenya katika Mahamaka ya Kazi, sijui ni kitu gani kilimfanya kuwa katika hali ya kutishika na kusema kwamba angetoa zana za vita ili apige watu risasi. Hicho ni kitendo ambacho kinarejesha Serikali na nchi hii nyuma ya miaka ambayo tulishapita na ni ... view

  • 31 May 2016 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, I would like to inform the House that we had consulted the stakeholders in the morning. They are already within the precincts of Parliament. We will have a meeting right now. I will do a report thereafter. I need at least to be given an hour or an hour and a half. I will be quite comfortable. view
  • 31 May 2016 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, I am much obliged. view
  • 31 May 2016 in Senate: On a point of information, Mr. Temporary Speaker, Sir. view
  • 31 May 2016 in Senate: Madam Temporary Speaker, I want to inform my senior colleague that the World Anti-Doping Agency (WADA) is part of the United Nations (UN) body and, therefore, it confirms itself as an independent body, just like the Fédération Internationale de Football Association (FIFA) which has its own rules and regulations. These regulations ought to be followed to the letter. Any interference either by the Government or any other party is not acceptable. Incidentally, that is how international agencies operate. It does not exclude WADA. I believe when my senior brother and one of the outstanding counsel in this country says that ... view
  • 31 May 2016 in Senate: Madam Temporary Speaker, first and foremost, I would like to thank all my colleagues who have contributed to this Bill. I beg to lay the following Paper on the Table of the Senate:- The Report of the Standing Committee on Labour and Social Welfare on the Anti- Doping (Amendment) Bill (National Assembly Bill No.17 of 2016). view
  • 3 May 2016 in Senate: Bw. Spika wa Muda, asante kwa kuniita kwa majina hayo yote ambayo nayakubali kabisa. Asante kwa kunipa nafasi hii ili niweze kuchangia Mswada huu unaohusu walemavu. Kama tunavyojua, kila kinachozaliwa hakikosi kasoro.Wengine wetu tulibahatika kazaliwa bila ulemavu.Kuna watu walemavu katika familia nyingi katika taifa la Kenya.Ni lazima tukubali maumbile ya mwenyezi Mungu. Kuna watu wanaozaliwa na ulemavu and wale wanaopata ulemavu kutokana na ajali mbalimbali. Tuko na ndugu zetu kama vile Sen. Leshore, ambaye alizaliwa bila ulemavu lakini alipata ajali iliyomuweka katika hali ya ulemavu. Vile vile, watu wengine hupata ulemavu kutokana na magonjwa mbalimbali. Bw. Spika wa Muda, Serikali ... view
  • 3 May 2016 in Senate: Senate Majority Leader, please reply. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus