Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 2141 to 2150 of 2266.

  • 24 Feb 2015 in Senate: Asante, Bw. Naibu Spika. Pia mimi nataka kujiunga na ndugu zangu, Maseneta kumpatia heko Sen. (Prof.) Lonyangapuo kwa kuleta Mswada huu. Jambo la kwanza, ningetaka sheria hii ichukue mkondo kila mahali katika nchi hii. Hili likifanyika mimi, kama mkaazi wa Kilifi, nina imani kwamba hawa KPRs wataweza kutekeleza amani pale ambapo askari wetu wa kawaida huwa wanazembea. Hivi majuzi, tumempoteza askari wetu mmoja huko Kaloleni kwa sababu ya upungufu wa maaskari. Kwa hivyo, tukiwapata maaskari wa KPR, huenda ikawa jambo nzuri zaidi. Bw. Naibu Spika, natumai kwamba hakutakuwa na ubaguzi katika wale watakaochukuliwa kama maaskari wa KPRs ili wale watu ... view
  • 24 Feb 2015 in Senate: Can I be protected, Mr. Deputy Speaker, Sir? view
  • 24 Feb 2015 in Senate: From Sen. Murkomen. He is walking around and talking loudly as if it is a market place. view
  • 24 Feb 2015 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 24 Feb 2015 in Senate: Asante sana, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii. Nataka kuchangia Hoja hii ya mmea wa viazi, ambao ni mmea wa ajabu. Kwanza, mmea wa viazi umeondoa njaa katika maeneo yote nchini Kenya. Pili, mmea huu umeweza kuondoa--- view
  • 24 Feb 2015 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 24 Feb 2015 in Senate: I hope my time is checked. Bw. Spika wa Muda, tunaona ya kwamba wanaofaidika katika mmea wa viazi hasa ni wakulima. Nilipokuwa Mwenyekiti wa Shirika kuu la Agricultural Society of Kenya (ASK), tuliona ya kwamba wakulima hawapewi kipaumbele. Wakulima wanawekwa nyuma kwa sababu hawapewi nafasi ya kuona ya kwamba mimea yao imewapatia faida. Kitu ambacho kinatutia moyo zaidi ni kwamba mmea wa viazi pia umeweza kufaidisha wanabiashara na kuondoa umaskini. Kwa hivyo, huu ni mmea ambao Serikali inastahili kuutilia kipaumbele. Huko Pwani, kuna mmea wa korosho ambao umetuondolea umaskini. Hii ni kwa sababu miaka miwili au mitatu baada ya kuupanda ... view
  • 26 Nov 2014 in Senate: Asante, Bw. Spika, kwa kunipa nafasi hii. Jambo la kwanza nashtumu vikali hao watu wawili kwa kutoa taarifa kama hii kwenye mtandao. Mhe. Hassan, Seneta wa Mombasa ni Seneta ambaye huongea kulingana na fikra zake. Hayuko hapa kuongea ili kumpendeza mtu yeyote. Ni mtu ambaye anaongea vile anavyofikiria na hivyo ndivyo Katiba yetu inavyosema; ya kwamba kuna uhuru wa mtu kusema vile anavyotaka. Jambo la kusikitisha ni kwamba hivi sasa ametishiwa maisha yake. Waswahili wanasema; “Lisemwalo lipo na kama halipo laja.” Kwa hivyo, tishio hili kama halipo hivi sasa, Sen. Hassan amelitubua na ametuambia. Kwa hivyo, ni muhimu kwamba Bunge ... view
  • 26 Nov 2014 in Senate: Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii. Ningependa kuunga mkono Hoja hii iliyoletwa hapa na Seneta wa Mandera. Ningependa kusema amani ni kitu cha maaana katika nchi yoyote. Bila amani hatuwezi kuwa na maendeleo yoyote katika nchini. Biashara huimarika kama kama kuna amani. Watalii watazuru nchini ikiwa kuna amani. Uchumi wa nchi yetu hutegemea sana watalii. Vijana wetu wanaweza kufanya biashara ikiwa kuna amani nchini. Jambo la kushangaza ni kwamba hakuna amani katika nchi yetu ya Kenya. Hakuna amani kwa sababu ya mambo tofauti tofauti. Viongozi wakuu waliopewa mamlaka ya kuongoza nchi hii, hasa katika upande wa amani ... view
  • 25 Nov 2014 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I beg to lay the following Papers on the Table of the House:- Reports of the Standing Committee on Labour and Social Welfare. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus