Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 2151 to 2160 of 2266.

  • 25 Nov 2014 in Senate: Asante sana, Bw. Spika wa Muda. Kwanza, ningependa kutoa rambi rambi zangu kwa watu wa Kilifi na kwa Wakenya wote kwa ujumla. Ningependa kusema pole kwa Wakenya na familia zote zilizopoteza wapendwa wao. Ningependa kushutumu sana kitendo cha ugaidi na hasa wale waliua kwa sababu mtu hakuitwa Hassan ama Ali. Walioitwa Hassan na Ali waliambiwa wakae pande moja na wengine ambao waliitwa George ama Stephen wakaambiwa wakae upande mwingine. Watu hawa waliambiwa walale wakiangalia chini halafu vichwa vyao vikapasuliwa kwa kupigwa risasi. Hiyo ni aibu kubwa sana na kitendo cha unyama ambacho hakijaonekana katika ulimwengu huu. Wengine wetu tulikuwa tukisoma ... view
  • 19 Nov 2014 in Senate: Asante sana, Bw. Spika wa Muda. Kwa niaba ya familia yangu na watu wa Kilifi ningetaka kutoa rambi rambi zangu kwa watu wa Mbita Constituency, vile vile watu wa Kaunti ya Homa Bay na Wakenya wote kwa jumla kwa sababu ya kupoteza kiongozi wao. Tukisema “kiongozi wao” ni kwamba ndugu yangu, Sen. Kajwang, hakuwa mwanasiasa wa Homa Bay peke yake; alikuwa mwanasiasa wa Kenya na alijitambulisha kwa ushupavu wake katika mambo ya mijadala. Alikadiria ushupavu wake katika ulingo wa siasa kwenye jukwaa. Nikisema hivyo ni kwamba Sen. Otieno Kajwang alikuwa mtu mshupavu kwa kueleza sera zake. Sisi katika jukwaa la ... view
  • 19 Nov 2014 in Senate: Bw. Spika wa Muda, wachina wanajulikana kwa kula vyakula vingi. Kwa hivyo, pengine ulimi ulitelelza kidogo, lakini nilikuwa kusema kwamba wanakula nyoka, vyura na vyakula vingine vile ambavyo sisi Waafrika, hasa Wakenya huwa hatuli. Sahani ilipokuja tukiwa tumeketi pamoja, tuliweza kunong’onezana pale kwa sababu kile chakula hakikuonekana kama ni nyama ambayo sisi tunakula huku Kenya. Nilimwuliza ndugu yangu ikiwa ilikuwa vyema tule kile chakula ama tusile. Alinieleza kwamba:- The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 12 Nov 2014 in Senate: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. I had a Statement--- view
  • 12 Nov 2014 in Senate: Bw. Spika, majuma matatu yaliyopita, niliuliza swali kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Barabara na Uchukuzi. Niliuliza swali kulingana na kile cheo kilichotangazwa cha chief mechanical engineer, na kwamba Bw. Beja alikuwa mmoja wa wale watu waliofanya mtihani na akaibuka kwamba yeye ndiye aliyekuwa na view
  • 12 Nov 2014 in Senate: za hali ya juu. Katika mtihani huo, yeye ndiye aliyekuwa wa kwanza. Lakini, Waziri wa Uchukuzi na Miundo Msingi alichagua mtu mwingine aliyekuwa wa nne. Swali hilo tulilouliza hapa majuma matatu yaliyopita kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Barabara na Uchukuzi, hatujapata jawabu mpaka sasa. Ninataka kujua kama jawabu hilo linaweza kupatikana, na litapatikana lini? Ama suala hilo linaweza kujibiwa siku gani? Asante Bw. Spika. view
  • 12 Nov 2014 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 11 Nov 2014 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I beg to lay the following Papers on the Table:- Report of the Standing Committee on Labour and Social Welfare on the National Youth Service (Amendment) Bill, (Senate Bill No. 26 of 2014). REPORT OF THE STANDING COMMITTEE ON LABOUR AND SOCIAL WELFARE ON THE PERSONS WITH DISABILITIES (AMENDMENT) BILL Report of the Standing Committee on Labor and Social Welfare on the Persons with Disabilities (Amendment) Bill, (Senate Bill No. 24 of 2014). view
  • 11 Nov 2014 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 6 Nov 2014 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, this is a statement in relation to a request that was sought by Sen. Mong’are. The Statement is on the status of compensation for Internally Displaced Persons (IDPs) in Nyamira and Kisii counties as a result of the 2007/2008 post-election violence. The statement had four questions as follows: (i) Whether we are aware that various persons from Nyamira and Kisii counties, including businessmen, farmers and workers were displaced as a result of the violence and, if so, whether the list could be attached. (ii) Whether the Parliamentary Select Committee on Internally Displaced Persons which was appointed ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus