2 Oct 2014 in Senate:
On a point of order, Mr. Temporary Speaker, Sir.
view
2 Oct 2014 in Senate:
On a point of order, Mr. Temporary Speaker, Sir.
view
30 Sep 2014 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I beg to lay the following Paper on the Table:- The Report of the Standing Committee on Labour and Social Welfare on the National Honours (Amendment) Bill, 2014
view
25 Sep 2014 in Senate:
Asante, Bw. Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii kuchangia Hoja hii. Bw. Spika wa Muda, kwanza nampa hongera dada yetu, Sen. Elizabeth Ongoro, kwa kuleta Hoja hii. Jambo la kwanza la kuzingatia kama Wakenya ni kwamba familia ni msingi mkubwa sana wa maendeleo. Biblia inasema kwamba familia inayoomba pamoja inaishi vyema kwa muda mrefu. Ukiwa na familia ni lazima uwaelimishe watoto wako kama kiongozi ama mama wa familia. Bw. Spika wa Muda, naunga mkono Hoja hii kwa sababu wengi wa vijana wetu hivi sasa katika sehemu mbalimbali, hasa Kilifi kule ninatoka wameingilia mambo ya mihadarati. Watu wanapitia njia za ...
view
23 Jul 2014 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, I will be in a position to respond to that request within the next two weeks.
view
23 Jul 2014 in Senate:
That is right, Mr. Deputy Speaker, Sir.
view
23 Jul 2014 in Senate:
Yes, Mr. Deputy Speaker, Sir.
view
17 Jun 2014 in Senate:
Hoja ya nidhamu, Bw. Naibu Spika. Je, ni haki kwa Sen. Elachi, akiwa Kiranja wa Wengi katika Seneti, kutaja kabila fulani? Seneti hii yaongea kuhusu Wakenya waliokufa na si watu wa kabila fulani. Ikiwa mambo yataenda hivyo, kati ya waliokufa huko Lamu pia kuna Waislamu na Wakristu.
view
17 Jun 2014 in Senate:
Bw. Naibu Spika, je, ni haki kwa Sen. Elachi kulitaja kabila fulani na kusema wao peke yao ndiyo waliokufa?
view
17 Jun 2014 in Senate:
Bw. Naibu Spika, kwa niaba ya watu wa Kilifi, Pwani na Kenya kwa jumla, ningependa kutoa rambirambi zangu kwa wananchi wa Lamu waliopatikana na mkasa huu, hasa wale wa Mpeketoni na vitongoji vyake. Bw. Naibu Spika, ningependa vilevile kukubaliana na wale wenzangu waliotangulia kusema ya kwamba wale ambao wamezembea kazini, hasa kwa upande wa ulinzi waachishwe kazi mara moja. Maisha ya Mkenya akiwa Lamu, Kisumu, Mombasa, Kilifi au sehemu yoyote ya Kenya ni muhimu sana katika nchi hii. Leo itakuwa ni aibu tukisimama na kujidai kama Wakenya ilhali ndugu zetu wanaweza kupoteza maisha kirahisi na kiholelaholela. Vifo hivi vinavyotokea mahali ...
view