Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 2241 to 2250 of 2266.

  • 5 Mar 2014 in Senate: On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir. Apart from Mr. Ahmed, who is generally known that he is missing now, could the Chairperson tell the House how many young Muslims also lost their lives in this operation? Secondly, were the police officers justified in taking into the Mosque---? view
  • 5 Mar 2014 in Senate: Mr. Speaker, Sir, could I be allowed to--- view
  • 4 Mar 2014 in Senate: Asante sana, Bw. Naibu Spika. Kwanza, nataka kumshukuru sana ndugu yetu, Sen. (Dr.) Boni Khalwale, Seneta wa Kakamega, kwa kuleta Hoja huu na umuhimu wake ili tuweze kuelewa maonevu kama haya. Mimi, kama mtu aliyekuwa Hakimu hapo awali na nikastaafu, ni jambo la kusikitisha hasa tukizingatia maswala ya wale watu waliopigania Uhuru katika nchi hii. Swali letu ni hili: Kwa nini watu walipigana? Tumesema ni kwa sababu ya mashamba. Mashamba ni mojawapo kati ya maonevu ambayo watu wa Pwani na sehemu zingine kama Bonde la Ufa waliyofanyiwa. Mashamba mengi ya watu wa Pwani yalitolewa kama zawadi kwa wale watu ambao ... view
  • 4 Mar 2014 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 4 Mar 2014 in Senate: Wakati wa kulala usiku, alikuwa analala katika hali hiyo, nusu ya mwili wake ukiwa ndani ya maji. Kwa sababu ya jambo kama hili, ilibidi niende kortini kuielezea hali yake. Ninamshukuru sana Justice Ang’awa ingawa sasa ni hakimu kwa sababu aliamuru aachiliwe mara moja. view
  • 4 Mar 2014 in Senate: Jambo lingine ambalo ningependa kugusia ni juu ya Wakili Rumba Kinuthia. Yeye ni wakili maarufu sana. Lakini ukiona hali yake ya kiafya hivi sasa, ni ya kusikitisha. Yeye ni wakili ambaye nimeangalia hata katika ule uamuzi uliotolewa alipokuwa ameenda kortini, ya kuambiwa kwamba yeye hawezi kupewa ridhaa kwa sababu hakuweza kutoa kithibitisho kuwa aliumia alipokuwa mfungwa korokoroni; kufungwa bila haki na kukosa kuwa na jinsia ya familia yake, kukosa kuwa na mkewe ndani ya nyumba na kwa miaka isiyojulikana kufungiwa korokoroni, hiyo ni haki kweli? Tunasema watu kama hao ambao judgement zao zilikuwa kutupiliwa mbali waweze kuangaliwa. Watu kama Kenneth ... view
  • 26 Feb 2014 in Senate: On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir. I have restrained myself from standing on a point of order, because the debate is going on very well in this House. But I think that we are also taking an extremely difficult position when we allow ourselves to go outside the ambit of our Standing Orders. I am referring to Standing Order No.78 which reads:- “(1) All proceedings of the Senate shall be conducted in Kiswahili, English or in Kenyan Sign Language. (2) A Senator who begins a speech in any of the languages provided for under paragraph (1) shall ... view
  • 26 Feb 2014 in Senate: Asante sana, Bw. Naibu Spika. Kwanza, nataka kumpatia mkono wa heko ndugu yangu, Sen. Moses Masika Wetangula, kwa ushindi wake mkubwa ijapokuwa mimi sikuenda kule kwa sababu nilikuwa mgonjwa. Lakini sio hoja; ushindi wake ulithibitisha kabisa kwamba watu wa Bungoma wanampenda zaidi. Bw. Naibu Spika, Sen. Wetangula amekuwa wakili mkubwa katika nchi hii. Mimi nikiwa kama jaji nimemwangalia katika mikakati zake zote za uwanasheria na pia akiwa Waziri wa Mambo ya Nje. Nafikiri kuwa uamuzi wa ndugu yangu, Sen. Boni Khalwale na Sen. Kennedy Okong’o kujiweka kando na kumpisha ndugu yetu, Sen. Wetangula, kuchukua nafasi hiyo, ni jambo la heko. ... view
  • 14 Feb 2014 in Senate: Mr. Speaker, Sir, Kilifi votes “yes” to all the counts. view
  • 14 Feb 2014 in Senate: Mr. Speaker, Sir, Kilifi votes “yes” to all the counts. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus