7 Dec 2023 in Senate:
Kulingana na Katiba, hauwezi kushusha hadhi ya Bunge hili. Lakini juzi tumepata afisa mmoja anayefanya kazi katika Wizara ya Mambo ya Nje anayeitwa Katibu wa Kudumu ambaye ni SingOei. Ni jambo la aibu kuona ya kwamba afisa wa Serikali anaweza kuingilia jambo ambalo linajadiliwa ndani ya Bunge ama anaweza kuingilia Spika ambaye ndiye kilele au mkubwa ndani ya Bunge la Seneti. Tunaona hii ni madharau na anajaribu kushukisha heshima ya Bunge la Seneti chini, ambayo sio kawaida. Wewe ukiwa unafanya kazi ndani ya Serikali hauwezi kuingilia chochote ndani ya Bunge la Seneti. Bw. Spika, tunaona haya ni matusi na madharau, ...
view

Nakubaliana na vile ndugu yangu Sen. Cheruiyot anasema. Mwenyekiti wangu Sen. Cheptumo hajalala. Sen. Cheptumo ni mtu yuko sawa sawa kabisa na ni wakili mkubwa. Yeye hajasinzia, yuko sawa sawa kabisa lakini ni vile tu hajaongea kwa kusema kuwa SingOei alifanya makosa sana.

Asante, Bw. Spika. Kama ndugu yangu Sen. Cheptumo ametuhakikishia kuwa yeye hayupo usingizini kama anavyosema Kiongozi wa Walio Wengi, Sen. Cheruiyot, sisi tunataka tuchukue hiyo hatua ya kwamba huyu ofisa ambaye ni ofisa wa chini sana katika hii Wizara ya Mambo ya Nje, aitwe hapa ili tumhoji.

The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate.