20 Feb 2024 in Senate:
Bi. Spika wa Muda, Bunge la Seneti ni Bunge linalo heshimiwa sana na hivi sasa kwa Taifa nzima, macho yote yame elekezwa hapa. Itakuwa si heshima, mtu kuwataja viongozi, Maseneta waseme atangulishe vile anavyo ongea kisha wewe useme, hiyo ni sawa na anaweza kwenda kuketi na kwenda zake nyumbani. Bi Spika wa Muda, hayo ni makosa kabisa kwa sababu hairuhusiwi katika Kanuni za Kudumu za Seneti mtu kutajwa hapa asiyekuwa ndani ya Bunge, asiyeweza kujitetea.
view
20 Feb 2024 in Senate:
Bi Spika, ni lazima ufafanue sheria kisawasawa. Kanuni za Bunge ziko wazi kabisa.
view
13 Feb 2024 in Senate:
Asante, Bw. Spika. Kwanza, naungana na wewe kuwakaribisha ndugu zetu Maseneta kwa mwaka huu. Nawatakia kila la heri, fanaka na ukarimu kama tunavyo omba. Jambo la kwanza, huu utakuwa muhula wetu wa tatu. Wale Maseneta ambao wamechaguliwa kukaa katika Kamati hii ambayo ndio Kamati ya kwanza kwa Kamati zote za Bunge, wengi wao ni wale walikuwa kwa kipindi cha pili. Hakuna yeyote aliyetolewa. Wote wako sawa. Ningependa kusema ya kwamba hawa Maseneta wako na ujuzi sana. Kwa hivyo, mimi niko na imani tutalenga vile inavyotakikana kwenda kulingana na biashara yetu ya Seneti katika mikutano na kwa kuendesha Seneti vilivyo. Ninayo ...
view
7 Dec 2023 in Senate:
Asante, Bw. Spika. Naunga mkono hii Taarifa ambayo imeletwa na Sen. Oketch Gicheru, kuhusu uhusiano katika utawala wa ufalme wa Morocco na Kenya. Ni jambo la muhimu sana kuona kwamba Kenya itakuwa na uhusiano mwema na mataifa mengine. Uhusiano kama huo hua na mazao mengi. Kwa mfano, hufungua njia za watu kupata kazi na biashara. Uhusiano mwema hua unaleta mambo ya biashara kuendelea katika nchi zetu za Afrika, hususan, uhusiano baina ya Kenya na Usultan wa Morocco. Nilikua katika Bunge la Pan-African Parliament. Katika Bunge hilo, nchi ambayo imetambuliwa na Pan-African Parliament inaitwa Western Sahara. Nchi ya Morocco bado haijakua ...

The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate.

Kulingana na Katiba, hauwezi kushusha hadhi ya Bunge hili. Lakini juzi tumepata afisa mmoja anayefanya kazi katika Wizara ya Mambo ya Nje anayeitwa Katibu wa Kudumu ambaye ni SingOei. Ni jambo la aibu kuona ya kwamba afisa wa Serikali anaweza kuingilia jambo ambalo linajadiliwa ndani ya Bunge ama anaweza kuingilia Spika ambaye ndiye kilele au mkubwa ndani ya Bunge la Seneti. Tunaona hii ni madharau na anajaribu kushukisha heshima ya Bunge la Seneti chini, ambayo sio kawaida. Wewe ukiwa unafanya kazi ndani ya Serikali hauwezi kuingilia chochote ndani ya Bunge la Seneti. Bw. Spika, tunaona haya ni matusi na madharau, ...
view