20 Mar 2024 in Senate:
Asante Bw. Spika. Naunga mkono Taarifa iliyoletwa na ndugu yangu, Seneta wa Kaunti ya Meru, kuhusu kushikwa kwa Sniper. Sio kushikwa peke yake, bali kutolewa ndani ya nyumba na watu ambao hawajui, waliojitambulisha kwa familia na yeye mwenyewe, halafu wakamueka kwa gari na kupotea naye. Vitendo kama hivi vimetendeka sana na vimefanywa katika mikono ya polisi. Watu wanakuja kwa nyumba, wakishajitambulisha kwamba wao ni polisi, wanatoa mpaka vitambulisho na wanabeba mtu wanaenda naye. Hatimaye, tunaona huyo mtu anapatikana ametupwa mahali fulani baada ya siku fulani akiwa amekufa. Tabia kama hizi, hivi sasa zimeanza kuzidi kwa sababu si Meru tu ambapo ...
view
20 Mar 2024 in Senate:
wengi katika nchi hii wamejipata katika hizi njia panda. Kwa bahati mbaya, na pole sana kwa watu wa Meru, shemeji yangu, Deputy Speaker, pole sana kwa kumpoteza

wenu. Hiyo imetendeka kila mahali katika nchi. Hata upande wa Pwani, kule Mombasa, kuna blogger anayejulikana sana, anaitwa Yusuf. Polisi walienda nyumbani kwake na kumchujua. Watu walijitambulisha kwa familia yake kama polisi. Hatimaye, baada ya siku fulani, alipatikana katika hali ambayo si sawasawa. Alikuwa amepigwa risasi na ameuawa. Bw. Spika, ikiwa hawa watu wamekuja ndani ya nyumba na kujitambulisha kama polisi, itabidi sasa tuanze kukataa na wapendwa wetu. Tusiwaruhusu waende nao kwa sababu tunajua wakienda nao, mwishowe tutapata miili ya wapendwa wetu katika vichaka; wapatikane ama wasipatikane. Tabia kama hizi zimekuwa zikitendeka sasa baada ya mda mfupi. Njia inayotakikana kufanyika ...

Tunaona kuna mwengine alipatikana na hatia, kama yule aliyefungwa juzi akaambiwa ataenda kunyongwa. Lakini, hayo ni mambo baada ya korti kumsikiliza yule mtu. Kwa hiyo, hali hii ya ulaghai ama polisi kuchukua sheria katika mikono yao, ipingwe kwa hali ya juu sana. Sisi kama Maseneta hapa hatutakubali Wakenya kupoteza maisha yao kupitia kwa mikono ya polisi ambao wamechukua hatua ya kuangamiza Wakenya kwa kuwapiga risasi ama kuwatoa kwa nyumba zao bila sheria inayoambatana, na hatimaye kuwapata wamekufa. Asante.

19 Mar 2024 in Senate:
Asante, Bw. Spika. Nami najiunga na maoni yaliyotolewa na Kiongozi wa Walio Wengi, Sen. Cheruiyot, ya kwamba, kitambo kidogo, kulikuwa na pigeon hole ; mahali ambapo tulikuwa tunapata barua zinazotoka katika vitengo vya Serikali hususan Ofisi ya Controller of Budget. Tulikuwa tunapata nakala hizo na barua nyingine ambazo zilikuwa zinatuhitaji kwenda katika mialiko ya aina yoyote tuliyokuwa tunapata kupitia kwa hivyo visanduku ambamo barua zetu zilikuwa zinawekwa. Tokea sijui ni lini, sijaweza kuona hivyo visanduku vikitumika. Ni kweli kabisa ya kwamba visanduku hivyo huenda vimefungwa sasa. Tunaomba ya kwamba ikiwa inawezekana, kupitia uwezo wa Ofisi yako, Bw. Spika, ama unaweza ...

13 Mar 2024 in Senate:
Thank you, Mr. Speaker, Sir. It would be better if the counsel is able to guide by saying which volume he is referring to so that we are able to see.
view