9 May 2024 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, hili ni jambo la aibu sana kutendeka katika Bunge la kitaifa. Hili ni Bunge linalotakikana kuheshimiwa. Hii ni aibu kubwa. Tangu nije hapa kuanzia 2013, hii ni mara ya kwanza kuona kitendo kama hiki kikitendeka ndani ya Bunge hili. Tungependa kujua kwa nini hakuna umeme katika Seneti. Ningependa Kenya Power itueleze kwa nini Bunge halina stima hadi saa hii. Tungependa kujua kama hatujalipa bili ya stima. Hiyo itakukwa aibu kubwa kwa Serikali. Bw. Spika wa Muda, tunataka kuwe na umeme hapa, la sivyo uahirishe kikao hiki kwa muda fulani.
view
8 May 2024 in Senate:
On a point of information, Mr. Temporary Speaker, Sir.
view
8 May 2024 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, ningependa kumjulisha ndugu yangu kwamba jina la Gavana wa Mombasa ni Abdulswamad Sherrif Nassir. Amesema jina lingine ambalo halipo.
view
8 May 2024 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, najua ndugu yangu anakielewa Kiswahili sana, lakini sio sawa alivyosema kuwa “macho huingia takataka”. Macho huingia vumbi ama mchanga. Akisema macho inaingia takataka, makaratasi yataingia kwenye macho? Je, ni sawa kwa ndugu yangu kusema takataka zinaweza kuingia kwenye macho?
view
30 Apr 2024 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, we were discussing and agreed that 10 minutes would be okay.
view
30 Apr 2024 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, we were discussing and agreed that 10 minutes would be okay.
view
30 Apr 2024 in Senate:
I have said it earlier that 10 minutes should be quite okay.
view
30 Apr 2024 in Senate:
I have said it earlier that 10 minutes should be quite okay.
view
24 Apr 2024 in Senate:
Bw. Naibu wa Spika, nachukua nafasi hii kama Seneta wa Kilifi nikijua kwamba Waziri aliye hapa ni dada kutoka Kilifi. Sikua nimempa kongole. Kama Seneta wa Kilifi, nampa kongole rasmi kwa kuchaguliwa kama Waziri wa Gender, Culture, the Arts and Heritage. Hio ni nafasi kubwa ambayo watu wa Kilifi walipewa. Namshukuru Mhe. Rais kwa kumchagua dadangu, Hon. Aisha Jumwa. Tumetoka mbali naye. Alikuwa womenrepresentative, kabla ya kuchaguliwa kama Member of Parliament (MP). Amefanya mambo mengi. Nina uhakika anaweza kazi kwa kuwa alikuwa na ujasiri wakati wa kujibu maswali.
view