22 Nov 2023 in Senate:
Bw. Spika, ningependa kumsaidia ndugu yangu, Sen. (Dr.) Khalwale. Hakusema kwa nia mbaya ya kwamba Mhe. Naibu wa Rais, anashirikiana na wale watu. Yeye amesema tu kunao wale watu wa katikati ambao nia yao ni kuchukua mapato ya---
view

Bw. Spika, hoja yangu ya nidhamu ilikuwa kuweza kumueka usawa yule Chairman wa Kamati ya Barabara na Uchukuzi ili asiweze kumuingilia katikati, Sen. (Dr.) Khalwale. Kuna tabia---

Bw. Spika, nisikize kidogo nami niongee. Kuna tabia moja ambayo iko hapa ambayo kama ako na line, anachukua line yake ya kuweza kueleza katika huu Mswada---

Thank you, Mr. Temporary Speaker, Sir. I have one question for the Cabinet Secretary. When is the Malindi Airport going to be expanded?

Asante, Bw.Spika wa Muda. Swali langu ni moja au mawili hivi kwa Waziri wa Masuala ya Vijana, Michezo na Sanaa. Waziri, ni mipangilio gani ambayo umeifanya kufikia hivi sasa ili kuona ya kwamba kuna uhusiano baina wa FKF, wale waliyo ndani ya ofisi hivi sasa na wale