Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 251 to 260 of 2266.

  • 30 Nov 2023 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I would, therefore, like call to upon this honorable House, through the Standing Committee on Roads, Transportation and Housing and the Standing Committee of Finance and Budget, to liaise with the counterpart committees at the National Assembly, to pursue the matter to stop any further deductions from Kenyans, and come up with a clear plan on how the Kenya Revenue Authority (KRA) will refund the money collected from August, 2023 to November, 2023 to the citizens of this Republic. Finally, in light of the ruling of the High Court, I call upon this honorable House, through the ... view
  • 29 Nov 2023 in Senate: Asante, Bw. Spika wa Muda. Nisamehe kidogo, hali yangu ya afya kidogo iko na tatizo kwa hivyo sauti yangu haiko sawa. Nina mafua ya mvua ya El Nino na kadhalika. Kwanza, natoa kongole kwa kamati yetu ambayo tulituma kwenda kufanya hii kazi ya kuchunguza maafa yaliyotokea huko Shakahola katika Kaunti yangu ya Kilifi, ninayowakilisha katika Seneti. Kamati hii ilifanya kazi ngumu sana. Kazi ya kusikitisha lakini ilikuwa ni sharti waifanye kulingana na yale maafa yaliyotokea. Nampa kongole aliyekuwa Mwenyekiti, Sen. Mungatana na kamati yake kwa kazi waliyoifanya. Jambo la pili, mimi kama Seneta wa Kilifi, vile nivyofanya kazi katika mahakama ... view
  • 29 Nov 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view
  • 29 Nov 2023 in Senate: Watu hawa walifanyiwa maafa wakiwa mbali na nyumbani mwao. Walikuwa wametoka maeneo kama vile kaunti za Magharibi, kaunti kama Kakamega, vile Sen. (Dr.) Khalwale alivyokubaliana, na pande zote katika nchi ya Kenya. Ni kama kulikuwa na mipango maalum kwa sababu hawa ni watu ambao waliuliwa huko. Ni jambo la kusikitisha ya kwamba, tuko na Serikali na mpaka wa leo, haikuweza hata kidogo kutambua wale watu waliowaua wengine. Hao watu waliwaua na kusafirisha miili zaidi ya 500 kutokea pande zote za Kenya hadi Kilifi County, Shakahola kuwazika huko. Ni jambo la kusikitisha ya kwamba leo tunasema, tuko na Serikali. Ni Serikali ... view
  • 29 Nov 2023 in Senate: . Jacinta Wesonga--- view
  • 29 Nov 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view
  • 22 Nov 2023 in Senate: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. view
  • 22 Nov 2023 in Senate: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. view
  • 22 Nov 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus