Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 311 to 320 of 2266.

  • 18 Oct 2023 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I am not substantiating, but he has been told to substantiate, and it is only fair if he is allowed to complete his substantiation view
  • 18 Oct 2023 in Senate: Mr. Speaker, Sir, if you want the video clips, they can be provided. view
  • 18 Oct 2023 in Senate: Asante, Bi. Spika wa Muda. Pia nami ninaunga mkono hii Hoja iliyoletwa hapa mbele na Seneta ambaye pia ni Kamishna. Kwanza ni kwamba, hii Kamati ya majadiliano ambayo inaendelea hivi sasa ni muhimu sana kwa taifa na kwa kila Mkenya. Hii ni kwa sababu imeweza kuleta amani na kufanya nchi ikatuliwa, kisha watu wakawa wanaendelea na mambo yao kama kawaida. Kitu cha kwanza ambacho nataka hii Kamati iweze kufanya ni kwamba iangalie haki ya mwananchi. Sio haki ya polisi pekee yake. Nazungumza kuhusu haki ya wananchi kwa sababu wananchi wengi wanashikwa kiholela bila sababu na kubandikiwa mashtaka. Ni muhumu kuwe ... view
  • 4 Oct 2023 in Senate: Asante, Bw. Spika. Ningependa kuunga mkono Ardhilhali hii ambayo iko mbele ya Bunge la Seneti. Tumekuwa tukitumia nafasi ya wale wanaopendelewa na vyama vyao kuteuliwa vibaya. La kwanza, inajulikana bayana kuwa wanaochaguliwa huwa ni wapenzi na marafiki wa wale wanaowateua. Ambao huwa ni viongozi wa vile vyama ambazo zinafaa kuteua. Wateuliwa wa kupendelewa wanafuata ule mkondo wa ule aliyewateua. Mara nyingi tunajipata kwenye njia panda kwa sababu ya wale ambao wanateuliwa. Ardhihali hii ni kuhusu wanaoteuliwa kwenye mabunge ya kaunti zilizoko mashinani. Uteuzi kwenye kaunti ama hapa Bungeni umetumika vibaya. Ndugu yangu Sen. Mungatana ametaja kuwa Kaunti ya Kilifi ilikuwa ... view
  • 3 Oct 2023 in Senate: Asante Bw. Spika. Kwanza nakuunga mkono katika maneno yako ulivyosema, ya kwamba, Maseneta wote walioweza kufika Turkana County waliweza kuteteleza wajibu wao. Vile vile, kazi tulioifanya Turkana County inaonekana wazi. Watu wa Turkana County ni watu wangwana na wazuri. Walitukaribisha kwa hali ya kufana zaidi kuanzia view
  • 3 Oct 2023 in Senate: mpaka tulipofika kwenye hoteli. Kwa sababu ya ukarimu wao, Mwenyezi Mungu awabariki sana. La mwisho, katika harakati zetu, tuliona baadaye kuna manung’uniko fulani ambayo walisema ya kwamba tulienda kule na maji, chakula na kila kitu kutoka hapa Nairobi. Hiyo ndio taratibu ya viongozi wakienda mahali. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate. view
  • 3 Oct 2023 in Senate: Ni lazima kuwe na taratibu kama hizo na hakuna makosa kubeba maji ama kubeba chochote. Kama waliona kuna makosa, next time ikiwa tutaenda huko, watatupikia chakula na kufanya kila kitu. Tuko tayari katika mambo hayo. view
  • 3 Oct 2023 in Senate: Asante, Bw. Spika. Nitajaribu kuongea kwa Kiswahili, lugha inayoeleweka. Bw. Spika, uamuzi wa muda ulitolewa, ukaja hapa na ukajadiliwa. Uamuzi huu haukuwa wako bali uliletwa hapa na Bunge la Seneti na uamuzi wenyewe ukachukuliwa kama uamuzi wa Bunge la Seneti. Maseneta wote waliokuwa hapa siku hiyo walijadiliana kama Bunge la Seneti. Hatimaye, walipiga kura na kuona ya kwamba ni sawa hatua iliyotaka kuchukuliwa, ilichukuliwe kulingana na ripoti iliyokuwa imeandikwa na Kamati ya Powers and Priviledges . Bw. Spika, uamuzi huo ulifanywa na Bunge la Seneti. Haukufanywa tena na Kamati ya Powers and Privileges, bali Bunge lenyewe. Kwa hivyo, kama kuna ... view
  • 3 Oct 2023 in Senate: I am sorry I did not hear. Asante, Bw. Spika. Pengine kwa sababu ya ninavyompenda Sen. Kibwana, nitampa lakini sio leo kwa sababu haya ni malalamishi ya muhimu sana. Malalamishi haya yalioletwa ya dhulma iliyofanyiwa watu wa Pumwani ni jambo la kusikitisha. Malalamishi kama haya pia yanapatikana sehemu mbalimbali za nchi yetu ya Kenya ikiwemo Kilifi kama eneo moja ambalo limevamiwa sana na mabwenyenye. Kuna tabia ambazo zimetokea sasa ya kwamba wale matajiri wenye pesa nyingi wananyanyasa maskini wasiojiweza kutoka kwa mashamba yao. Hii tabia imeendelea kwa muda mrefu sana hadi sasa utapata kwamba watu wa Kilifi wengi wanaoishi kule ... view
  • 3 Oct 2023 in Senate: . Wamekwenda huko na kufurusha Wagiriama. Wameweka fence, wao ndio wanaotaka kuishi katika ardhi hiyo. Tunasema la. Hatutakubaliana na mpango huu hata kidogo. Hivi sasa imetokea Pumwani. Watu wa Pumwani wameishi hapo kutoka hiyo miaka yote. Wamekuwa wakitunza ardhi hii na waliahidiwa kwamba watapewa ardhi hii. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus