21 Jun 2022 in Senate:
Asante, Bw. Spika. Kwanza, nakushukuru kwa kunipa nafasi hii ya kuweza kukuunga mkono kuwakaribisha wanafunzi kutoka maeneo ya Nakuru. Wanafunzi hawa wamekuja kujifunza, kusikia na kujionea kabisa vile mambo ya Seneti yanavyoendelea. Natumaini kuwa baada ya kuona, wataingiwa na moyo ya kwamba siku moja pia wao wana uwezo wa kuja ndani ya Seneti na kuwa Maseneta. Nina hakika kwamba wakitoka hapa leo na kwenda nyumbani, kutakua na Maseneta kadhaa ambao wametengezwa na wataingia hapa miaka mingi ijayo baada ya sisi kuondoka hapa. Bw. Spika, cha pili, nakuunga mkono kwa kuwakaribisha ndugu zetu kutoka pande zile za Narok. Hao ndugu zetu ...
view
21 Jun 2022 in Senate:
Asante Bi. Naibu Spika kwa kunipa nafasi hii. Kwanza, ninataka kushukuru mwenyezi Mungu. Pili nawashukuru watu wa Kilifi kwa jukumu walilokuwa nalo la kuniweka katika nafasi hii ya kuwa katika Bumge hili la Senate.
view
21 Jun 2022 in Senate:
Siku zote ukisema kwaheri, huwa kuna ugumu fulani, maanake ni neno rahisi kulisema lakini ni gumu sana kulitimiza japokuwa mioyo huwa, watu huwa wanawachana. Tukiwa hivi leo tukiweka historia ya kwamba tunalimaliza Bunge la 12 na tuaambiane kwaheri ni kwa sababu tunapendana na kwa sababu tuna imani ya kwamba ipo wakati tutafika Mwenyezi Mungu atatuweka pamoja tena. Jambo la muhimu ni kwamba Bunge la Seneti limefanya kazi yake kisawasawa. Tumekuwa na sintofahamu zetu ambazo hatuelewani hapa na pale lakini tumefanya kazi kisawasawa na hatimaye temefika mwisho wa hili Bunge la Seneti. Kusema kweli, Bunge hili katika majadiliano yake ndani ya ...
view
21 Jun 2022 in Senate:
Bi. Naibu Spika, tumekuwa na mashindano tofauti tofaufi, kati ya Bunge hili na lile Bunge la Kitaifa, lakini kwa sababu ya umuhimu wa kundi moja kufafanua zile sheria tumeweza kuenda kortini kama Bunge la Seneti na kumekuwa na ushindi katika zile kesi ambazo tuliweza kuzifanya ndani ya muhula huu wa miaka mitano. Ninataka kuwashukuru wale mawakili waliochukua hizo kesi na hatimaye wakalifanya hili Bunge likaweka heshima yake mbele ya Wakenya. Jambo la kusikitisha ni kwamba, ni jambo la Mungu mwenyewe anapenda tulikuwa na mwenda zake Sen. Haji, alikuwa anapenda kuketi mahali pale. Tulikuwa na ndugu yetu Sen. (Dr.) Kabaka, alikuwa ...
view
21 Jun 2022 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
21 Jun 2022 in Senate:
Bi. Naibu Spika, nashukuru kwa kunipa wakati huu.
view
21 Jun 2022 in Senate:
Huyo ni kitinda mimba.
view
15 Jun 2022 in Senate:
Asante Bi. Naibu wa Spika. Kitu cha kwanza, ninampa kongole ndugu yetu, Sen. Olekina, kwa kuleta hili swala la mafuta.
view
15 Jun 2022 in Senate:
Utanisamehe kwa sababu kampeni imekuwa nyingi sana. Kwa hivyo, sauti inaenda. Kila Mkenya anategemea mafuta na maisha ya kila Mkenya yanahusika na mafuta. Unapoongeza bei ya mafuta, unafanya maisha ya Wakenya kuwa mazito sana.
view