22 Jun 2016 in National Assembly:
Wabunge watakuwa ili nao wapate nafasi ya kutoa mchango wao. Ninatumai ndugu yangu, Mheshimwa Duale, ambaye anaondoka atafahamu kuwa sikuwa ninasubiri Wabunge wawe hapa tu ila hali ilivyokuwa kwa wakati huo ilibidi Wabunge nao wajitolee na kutoa mchango wao. Mhe. Spika, nchi hii haiwezi kuendelea kama barabara hazijafadhiliwa na kufunguliwa. Pia, nchi hii haiwezi kuendelea kama barabara zitakuwa upande mmoja. Nchi hii haiwezi kuendelea iwapo sehemu tofauti tofauti zitakuwa na barabara zisizofanana. Eneo Bunge la Wundanyi lina nusu kilomita ya barabara ya lami tangu tupate Uhuru. Ukienda kwingine, lami imetamba kila mahali. Mhe. Spika, ni ombi na maoni yangu kuwa ...
view
22 Jun 2016 in National Assembly:
Nikimalizia, ninaomba watakaohusika kuhakikisha Bodi hii inaweka mkazo kwa barabara zetu wazingatie zile muhimu. Tukitoka Mombasa hadi Malaba kupitia Nairobi, ni muhimu kitengo husika kushughulikiwa vilivyo ili tusiwe na ufisadi sivyo, tutakosa barabara tunazohitaji. Kwa hayo mengi au machache, ninaomba niunge mkono Hoja hii ili kamati itakayochaguliwa iwe na uwezo wa kusitiri barabara zetu na tupate ufanisi tunaohitaji. Asante, Mhe. Spika.
view
14 Jun 2016 in National Assembly:
Thank you, Hon. Speaker. I understand he is attending to a very important issue in court. So, I seek your indulgence. I will ask him next time to do a note that he delegates that responsibility to one of us and we can do that.
view
14 Jun 2016 in National Assembly:
I stand guided. Thank you for your indulgence.
view
14 Jun 2016 in National Assembly:
Thank you, Hon. Speaker. I wish to concur with the views expressed by the Leader of the Majority Party. More so, most of the expenses were settled by the Government and the county government and it became a State funeral. For that matter, even if the family has a burden which we accept, I would go the way the Leader of the Majority Party has said. Individually, we can contribute whatever we feel we should contribute. If the Government of the day has footed all the bills and that is what I am made to understand, and the county government ...
view
14 Jun 2016 in National Assembly:
Thank you, Hon. Speaker. I second this Motion, which is on the appointment of Members to various Committees. It has arisen due to the re-organisation which we felt was necessary. More so, it is when the Coalition for Reforms and Democracy (CORD) fraternity felt that the analytical skills that some of our Members have, have been missing in the Budget and Appropriations Committee. Let me be straightforward on this one. It was generally felt that there was need to inject that synergy, hence the moving of Hon. John Mbadi and Dr. Makali to the Budget and Appropriations Committee. I got ...
view
14 Jun 2016 in National Assembly:
Hon. Temporary Deputy Speaker, we are discussing a very important Bill which affects the entire country. I am not convinced that we have quorum to proceed with debate.
view
9 Jun 2016 in National Assembly:
Thank you, Hon. Speaker. Yes, we consulted and saw one or two anomalies. Therefore, we agreed to bring the Motion back next week on Tuesday.
view
8 Jun 2016 in National Assembly:
Mheshimiwa Spika, ninasimama kuunga mkono Ombi hili kwani hata mimi sielewi ni kwa sababu gani Waziri alitoa uamuzi kuwa suala la maombi katika shule nchini lipigwe marufuku, hasa katika muhula wa tatu. Sioni uhusiano wowote kati ya sala na udanganyifu wakati wa mtihani. Ndugu yangu, Mhe. Kamama, ninaomba nikujulishe kuwa si vijana ama wanafunzi wanaokaa katika mabweni tu ambao wanaweza kupatikana na hatia kama hiyo. Je, itakuwa namna gani kwa wale ambao wanakuja shuleni asubuhi na kwenda nyumbani jioni ambao hawakai katika mabweni? Ikiwa ni suala la udanganyifu, wao pia wanaweza kupata hayo makaratasi njiani. Kwa hivyo, hiyo si sababu ...
view
26 May 2016 in National Assembly:
Ahsante Mhe. Spika. Ninatumaini sote tumesikia ombi ambalo limetolewa kwa sababu ya mazishi na vile hali ilivyo kwenye familia ya Mheshimiwa Shitanda. Kwa hivyo ni ombi letu kwa Wabunge wenzetu kuwa tukubaliane kuwa viongozi ama vinara wa Bunge wakuandikie barua kwamba kila Mbunge atoe Ksh5,000 ili ziweze kusaidia shughuli za mazishi, na kusaidia kama kuna lolote la kulipia hospitali ili familia ya Mheshimiwa Shitanda iweze kupata afueni. Mheshimiwa Spika hili ni ombi nzuri. Tunaliunga mkono na bila shaka Wabunge wenzetu watakubaliana nasi kama viongozi tumuandikie Mhe. Spika barua ya kumuwezesha kutoa Ksh5,000 kutoka kwa mshahara wa kila Mbunge. Ninatumaini kwamba ...
view