Thomas Mwadeghu

Full name

Thomas Ludindi Mwadeghu

Born

1953

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

wundanyiconstituency@yahoo.com

Email

Wundanyi@parliament.go.ke

Telephone

0724-285347

All parliamentary appearances

Entries 491 to 500 of 604.

  • 18 May 2011 in National Assembly: Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir, I beg to move:- THAT, this House adopts the joint recommendations of the Reports of the Local Authorities and Funds Accounts Committee and the Departmental Committee on Local Authorities on the purchase of land for cemetery by the City Council of Nairobi laid on the Table of the House on Tuesday, 2nd November, 2010. view
  • 18 May 2011 in National Assembly: Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir, I have had occasion to look at these documents. I realise that all the cases that have been mentioned in this document relate to the same persons we have in our Report. view
  • 18 May 2011 in National Assembly: As the Joint Committee, we are prepared to proceed with this debate but, given what has been tabled here by the Deputy Prime Minister and Minister for Local Government, I stand to be guided by the Chair. view
  • 17 May 2011 in National Assembly: Bw. Spika, kila wakati Waziri akija hapa anatueleza mambo ya Wakimbizi wa Ndani. Kwa nini hawarudishwi pahali walikotoka? Kule walikotoka kuna ardhi; walikuwa wanaishi pahali fulani. Mbona wasirudi huko kama amani imerudi? Mpaka sasa ni kuzungushana, merry-go-round. Waziri, tumechoka! view
  • 17 May 2011 in National Assembly: Jambo la nidhamu, Bw. Spika. Kama hawa ambao anajaribu kuwapatia makao hawakuwa na ardhi hapo awali, mbona wanapewa kipaumbele na katika nchi hii kuna watu ambao hawana ardhi? Kwa nini wao wapatiwe ardhi? Mkoa wa Pwani kuna watu ambao hawana ardhi. Mbona hawafikirii? Mnafikiria hawa wengine huku juu. Hio ni haki? view
  • 11 May 2011 in National Assembly: Bi. Naibu Spika wa Muda, nakushukuru kwa muda huu ulionipatia. Ninaomba nichangie kwa kumpongeza mhe. Namwamba kwa kuileta Hoja hii Bungeni. Yangu ni machache. Tumeona Serikali ikilaumiana huku na kule. Ninaiomba Kamati hii inayoundwa iangalie kwa undani na iweze kujua ni nani anayeiba mafuta, na ni kwa sababu gani hatuna mafuta ya kutosha. Kamati hii inabuniwa wakati unaofaa, ili tupate kujua chanzo cha matatizo yanayoikumba nchi hii. Kuna mambo mengi yanayotokea katika nchi hii, ambayo hatuelewi. Hatuelezwi. Kuna ufisadi. Mambo yamefichwa. Tungependa yafafanuliwe. Kamati hii itakuwa na jukumu la kuja Bungeni na kuielezea nchi,kwa jumla, juu ya ufisadi unaoendelea. Watu ... view
  • 6 Apr 2011 in National Assembly: asked the Minister for Environment and Mineral Resources:- (a) whether he could inform the House the quantity of iron ore deposits in Kishushe Location, Wundanyi Constituency; (b) the measures the Government has put in place to ensure value addition to iron ore products for the benefit of the country; and, (c) when the Government will establish a fund for the development of the mining industry in the country as has been done for the tea and coffee sectors. view
  • 6 Apr 2011 in National Assembly: Mr. Speaker, Sir, may I take this opportunity to thank the Assistant Minister for the answer but surely, after 40 years of Independence she is telling this House that the Ministry has no idea about the level of iron ore deposits and for that we cannot establish a value addition factory in Kishushe. Could she confirm when that will be done? view
  • 6 Apr 2011 in National Assembly: Mr. Speaker, Sir, could the Assistant Minister confirm to this House that the Act, which is outdated at the moment, will be reviewed to allow people to access soft loans to develop the mining industry? Will she seek funds for the same so that our youths in Taita can benefit? view
  • 29 Mar 2011 in National Assembly: Ahsante, Bw. Naibu Spika wa Mda. Ninaomba nichukue nafasi hii kuiunga mkono Hotuba ya mheshimiwa Rais na kuangazia masuala mawili au matatu ambayo hayakuangaziwa kwenye Hotuba hiyo. Kwanza, nitazungumzia Mpango wa KKV. Kama tunavyojua, mpango huu haujawanufaisha vijana, na tunaiomba Serikali ifikirie njia nyingine tutakayotumia kuwasaidia vijaana wetu. Pili, nitazungumzia suala la ubinafsishaji wa Bandari ya Mombasa. Ninashukuru kwamba Waziri wa Uchukuzi yuko hapa. Tunasema kwamba miundo msingi kwenye bandari hiyo iboreshwe lakini bandari iendelee kuhudumia watu vile ilivyo. Rais hakulizungumzia suala la ubinafsishaji wa Bandari ya Mombasa kwenye Hotuba lakini nimetumwa na watu wa Pwani nije hapa kusema kwamba ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus