Thomas Mwadeghu

Full name

Thomas Ludindi Mwadeghu

Born

1953

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

wundanyiconstituency@yahoo.com

Email

Wundanyi@parliament.go.ke

Telephone

0724-285347

All parliamentary appearances

Entries 541 to 550 of 604.

  • 16 Jun 2010 in National Assembly: Madam Temporary Deputy Speaker, as you can see from the answer given by the Assistant Minister, the Legal Notice was issued in 1953 before most of these hon. Members in this House were born. The title deed was given in 2000. It is a pity that the Taitas were not involved, but the Ministry ended up taking their reserve land up to Tsavo River. Therefore, Taitas in Kishushe refused to have the electric fence on that boundary. The point I am trying to make is that the Government unilaterally carved out part of Taita land and gave it to the ... view
  • 16 Jun 2010 in National Assembly: Madam Temporary Deputy Speaker, now that the Assistant Minister has promised he can give that list, I would like to see that list specifically for Kishushe area, which borders Tsavo West, because, to the best of my knowledge, there is none. Nonetheless, the aircraft which has been said to be hovering around the place to minimize human/wildlife conflict does not exist. For all the time I have been in Kishushe, we have never seen any aircraft flying over Kishushe and looking after these animals. Could the Assistant Minister be specific and tell us when this aircraft takes off from Tsavo ... view
  • 6 Apr 2010 in National Assembly: Hoja ya nidhamu, Bw. Naibu Spika. Sioni kuwa Waziri Msaidizi anachukulia hili jambo vile linavyohitajika kuchukuliwa. Kama alienda Malindi na akaona ile hali ya taharuki iliyokuweko; watu wanataka kuuana, na huku anasema hamna lolote la taharuki. Waziri Msaidizi anafanya fedheha kwa watu wa Mkoa wa Pwani na naomba ikome! view
  • 30 Mar 2010 in National Assembly: Bw. Naibu Spika, naomba nichangie Hoja hii ya Katiba ili nami nitoe maoni yangu kuhusu Katiba ambayo natarajia Wakenya wanaitaka. Je, Katiba hii ni ya nani? Je, Katiba hii inanuia nini na inatuongoza wapi? Je, Katiba hii inatililia maanani haki za wananchi? Nitaanzia baba zetu ambao walienda Lancanster miaka hiyo ya awali. Nawashukuru. Nawasifu pia hawa wataalamu wetu ambao tuliwachagua hapa kwa kazi nzuri waliofanya. Pia nawashukuru Wabunge wenzetu 27 kwa kazi ambayo wamefanya mpaka tukapata Katiba kielelezo. Katiba hii kielezo ambayo tuko nayo hivi sasa ni nzuri nikilinganisha na ile inayotuongoza wakati huu. Kwa hivyo tukishindwa kuelewana kama Wabunge ... view
  • 30 Mar 2010 in National Assembly: Sizungumzi juu ya Mahakama ya Kadhi. Nina uhuru wangu! Bw. Naibu Spika, ningependa kuzungumza juu ya mahakama ya rufaa na ile ya Supreme Court. view
  • 30 Mar 2010 in National Assembly: Naomba nipewe uhuru wangu na nitautumia vile Naibu Spika atakavyosema view
  • 30 Mar 2010 in National Assembly: Bw. Naibu Spika, naomba niendelee kuchangia lakini kwa sababu wenzangu wanakerwa, naomba kwamba kipengele ambacho kinaruhusu vikundi vya usalama kama jeshi, polisi, maafisa wa magereza na vijana wa huduma za taifa wagome kiondolewe. view
  • 30 Mar 2010 in National Assembly: Kwa hayo mengi, naomba nipatie wenzangu nafasi. view
  • 9 Mar 2010 in National Assembly: Bi Naibu Spika wa Muda, naomba nichukue nafasi hii nitoe pongezi zangu kwa Rais kwa Hotuba aliyotoa wakati wa kufungua Bunge majuma mawili yaliyopita, na kwa kielelezo alichokitoa kuhusu mwelekeo anaotarajia Bunge kufuata wakati wa kuchangia mjadala wa Katiba mpya. Ni muhimu Wakenya wakae na watafakari na wajiulize wao wenyewe: “Je, Katiba tunayotarajia kuitengeneza ni ya watu gani? Ni ya Wakenya wanaoishi hivi sasa ama ni ya vizazi vijavyo? Haina haja ya watu kuudhiana ama kutiana udhia. Ni muhimu watu watafakari na kuelewana. Wakristo wakae chini waelewane na Waislamu. Haina haja hata kidogo ya watu kuzozana. Nia yetu ni kuhakikisha ... view
  • 9 Mar 2010 in National Assembly: Tukiangalia mambo ya mbuga za wanyama, tunapata ziko Taita lakini hakuna faida yoyote watu wa huko wanapata. Tukianzia Taveta hadi Tsavo Magharibi, hakuna kitu watu wa huko wanapata. Tukija Taita mlimani ambapo pia kuna Tsavo Magharibi na Tsavo Mashariki, tunaona hawapati chochote. Je, mambo kama haya yataendelea mpaka lini? Tukiulizana nini kinachoendelea, hakuna mtu anayetueleza kinachoendelea. Ninaomba tuulizane mambo yaliyotokea baada ya kura ya mwaka wa 2007. Mambo ya ardhi yalitajwa kuwa moja ya mambo ambayo yalichangia kwa kiasi kikubwa watu kuzozana na kupigana. Tunayashughulikia namna gani mambo haya? Rais alisema kwamba angependa watu wawe na maridhiano. Sawa. Je, ni ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus