9 Mar 2010 in National Assembly:
Bi. Naibu Spika wa Muda, ninaomba nikomee hapo. Pia, ninatoa pongezi kwa Hotuba ya Rais. Ahsante.
view
26 Nov 2009 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, at one time, the Vice-President and Minister for Home Affairs had promised to relocate Wundanyi Prison to some other place. Could he donate it to Uriri because that prison does not reflect the criminal behaviour of the Taitas? We are surrounded by three Government of Kenya (GoK) prisons and we do not need them. Could he consider taking Wundanyi Prison to Uriri?
view
2 Sep 2009 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika, nashukuru kwa kunipa nafasi hii ili nikosoe wenzangu ambao wamejibana hapo wakisema kuwa wanaunga mkono Hoja hii. Kwa maoni yangu, ni ufidhuli. Hawa ndugu zangu hawatoi hisia zao za ukweli. Jana katika shughuli zetu za kikao cha Bunge, tulikubaliana kuwa Waziri wa Haki, Maridhiano ya Kitaifa na Maswala ya Katiba atakuja hapa ili afafanulie Bunge kwa uwazi na kwa undani yale ambayo wamekubaliana na Mheshimiwa Rais. Lakini hayuko hapa.
view
2 Sep 2009 in National Assembly:
Bw. Spika, nitawataja wakati ukifika lakini kwa sasa naomba niweke tamati na kusema kwamba napinga Hoja hii na watu wa Wundanyi Constituency wako na mimi wakisikia naipinga.
view
2 Sep 2009 in National Assembly:
Bw. Spika, nilikuwa ninanakili msemaji ambaye awali alisema kuwa tunaenda nyuma na hatuendi, na Spika akanyamaza. Kwa hivyo, nilikuwa ninanakili tu. Yangu yameisha.
view
26 Aug 2009 in National Assembly:
Mr. Temporary Deputy Chairman, Sir, I would like to urge the Ministry that while it is the Ministry of State for Development of Northern Kenya and other Arid Lands, it should not concentrate on northern Kenya. There are other arid lands
view
26 Aug 2009 in National Assembly:
Mr. Temporary Deputy Chairman, Sir, while supporting this Vote, it is worth noting that we are moving towards the East African integration. The amount that has been voted here is very small that I wonder how the Ministry will put in all the records required to make sure that we are integrated as an East Africa common market. I beg to support.
view
26 Aug 2009 in National Assembly:
Vote 04 - Minister for Foreign Affairs
view
26 Aug 2009 in National Assembly:
THAT, a sum not exceeding Kshs4,010,534,000 be issued from the Consolidated Fund to complete the sum necessary to meet the expenditure during the year ending 30th June, 2009 in respect of:-
view
26 Aug 2009 in National Assembly:
Mr. Temporary Deputy Chairman, Sir, I would like to ask the Ministry to fast-track Cap.265 of the Local Government Act, which has been in the shelves for quite a while. We also need a change of accounting officers in all the local authorities. They have all been unable to submit annual accounts and they are due for disqualification. I beg to support.
view