Thomas Mwadeghu

Full name

Thomas Ludindi Mwadeghu

Born

1953

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

wundanyiconstituency@yahoo.com

Email

Wundanyi@parliament.go.ke

Telephone

0724-285347

All parliamentary appearances

Entries 571 to 580 of 604.

  • 3 Jun 2009 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, naomba kuchukua nafasi hii kwanza kumshukuru mhe. Mungatana kwa kunipa nafasi ili nichangie Hoja hii. Hoja hii imekuja wakati unaofaa maana tumeona nchi yetu imeingia katika janga kwa sababu ya ufedhuli wetu, hasa, wakati wa kuchagua Mawaziri, Wasaidizi wao na Makatibu. view
  • 12 Feb 2009 in National Assembly: Thank you, Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir. I also wish to take this opportunity to congratulate the Minister, the Director-General and the Chairman and his team for a job well done. It is overdue and it should have come years back. I am particularly impressed by a number of clauses and additions which have come up; with greater emphasis on the fact that shipping companies, which are mainly foreign-owned, will not now be allowed to own clearing and forwarding agencies, cleaning of ships and all that appertains to it. Now, it is an opportunity for Kenyans to look far and ... view
  • 12 Feb 2009 in National Assembly: Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir, one vital point I would wish to add is that for a long time, most of the shipping agencies have been given commissions by the ship owners, based on what they consider appropriate, hence reducing the taxable income to this country. Given what has come on board now, that will be history. Fe bruary 12, 2009 PARLIAMENTAR Y DEBATES view
  • 9 Feb 2009 in National Assembly: Mr. Speaker, Sir, is the Minister satisfied that the entire Kshs13 million actually went to Maungu Lorry Park? view
  • 5 Feb 2009 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, naomba kutoa maoni yangu kuhusu Mswada huu. Jambo la kwanza, naomba tujiulize, kama Wakenya, ni nini tunataka? Tunataka maridhiano ama ni nini? Kama ni maridhiano, tutayapata vipi? Je, tumewauliza wananchi ni nini wanachopendelea, ama tumejitwika wajibu wa kuamua kwamba hili ndilo linalofaa katika nchi hii? Jambo la pili, mambo mangapi ambayo hivi sasa yamekita mizizi nchini humu, na hamna lolote mnalofanya? Mawaziri wenyewe pia hawana imani na mahakama yetu. Je, mtawaelezaji Wakenya kuwa mkianza mahakama hayo hapa nchini watu watakuwa na imani nayo? Nimesikia mengi yakizungumzwa. Jana Waziri alinena kwamba tukiunda mahakama hayo sisi wenyewe ... view
  • 5 Feb 2009 in National Assembly: Jambo la tatu, naomba tufikirie kidogo tu mambo ambayo yalitokea baada ya uchaguzi mkuu liopita. Baada ya watu kupigana na kuraruana ni nini kimefanyika? Kuna watu ambao wameshikwa? Kuna watu ambao mpaka sasa hawajahukumiwa? Kwani hakuna sheria ya kuwahukumu hao watu? Kama sheria ipo, mbona hawajahukumiwa? Mbona wamewachiliwa hivi hivi. Watu bado wana uchungu. Sasa mnasema kwamba tuwachane na hayo mambo, na tuanzishe mahakama ambayo yatakuwa na wageni na Wakenya. Je, hao wageni wakiwa hapa, hamwezi kuwatia mfukoni? Hii imekuwa ni tabia ya Wakenya; hata kukitokea kashfa gani, iwe ni ya mahindi ama mafuta, watu wanaachiliwa kwenda zao. Je, nauliza, ... view
  • 5 Feb 2009 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, kama Wakenya tukubali kwamba kuna mambo mengi ambayo yametendeka. Tukiangalia Mkoa wa Pwani, watu hawana haki ya mashamba yao. Watu wetu wa Pwani wanapendelea kwamba hao watu wapelekwe huko huko kujibu mashtaka yao. Hapa nchini hakuna haki. Haki iliisha. Tumekutana hapa na tukajadiliana mambo mengi ambayo yanaweza kujenga nchi na kuleta maridhiano. Lakini ni hatua gani ambayo Serikali imechukua kufanya watu waridhiane? Juzi tumepitisha sheria kuhusu haki, ukweli maridhiano na tume . Hivyo inamaanisha kwamba hata watu wakiridhiana, bado kuna kipengele kinachosema kwamba kama mtu hataki kumsamehe mwenzake, huyo mwenzake atapelekwa mahakamani. Mbona hatukufuata mfano ... view
  • 5 Feb 2009 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, naomba wenzangu, ambao wananisikiliza kwamba tuutupilie mbali Mswada huu ili watu waende Hague wakaungame dhambi zao huko. view
  • 5 Feb 2009 in National Assembly: Kwa hayo machache, naomba kuupinga Mswada huu. view
  • 4 Feb 2009 in National Assembly: Mr. Deputy Speaker, Sir, could the Assistant Minister state categorically whether the road will be budgeted for in the next financial year? Since 1963, consecutive Governments view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus