22 Aug 2018 in National Assembly:
Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii. Kwanza kabisa, namshukuru Mhe. Owen aliyeleta Hoja hii. Ni Hoja ambayo kweli wakati wake umefika. Nataka niambie Nyumba hii ya kwamba jimbo la Pwani ndilo jimbo ambalo kwa sasa tunaweza kusema halina mmea ambao umeorodheshwa kama mmea wa kuboresha uchumi wa nchi hii. Kwa Kimombo wanasema cash crop . Hakuna. Hiyo inasikitisha sana. Imefanya mpaka ukulima umedorora kwa sababu si mkorosho wala mnazi. Hii ni mmea ambayo wakulima wanapozingatia kilimo chake, hawaoni faida. Hakuna soko ambalo Serikali inagharamia. Hoja hii kwa ufupi inasema kwamba kiangazi kinapouma nchi hii, basi ...
view
22 Aug 2018 in National Assembly:
Kama Wapwani, tunaamini kwamba kama mnazi ungeangaliwa vizuri, haungepandwa katika eneo la Pwani peke yake. Juzi nilikuwa Taveta, ambako niliona minazi mingi. Hata Kisumu kuna minazi. Mnazi ni mti ambao kama utaangaziwa vizuri kupitia utafiti wa kutosha, unaweza kuiokoa Kenya nzima kiuchumi.
view
22 Aug 2018 in National Assembly:
Kwa hivyo, ombi letu ni kwamba, kwanza, mnazi uorodhoshwe kama mti wa kuboresha uchumi wa nchi.
view
15 Aug 2018 in National Assembly:

1 Aug 2018 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. First and foremost, I thank Hon. Keter for the timely Motion. I rise to support it.
view
1 Aug 2018 in National Assembly:
Indeed, Kenya is a country whose citizens adore sports. We have seen it be it football, rugby or athletics. Our concern is that attention has been put to athletics and football, forgetting the other disciplines in this country.
view
1 Aug 2018 in National Assembly:
It is high time our country embraced all the disciplines and makes sure that youngsters from all the regions are given an avenue of exploiting their talents. I commend the rugby union for taking rugby to where it is now. It is an old sport but in recent years, we have started seeing our Kenyan rugby being played in the international arena. I thank the management of rugby union for that progress. I commend the Safari Sevens. They have put our country on the sports map of the world. They have brought glory to our country. It is high time ...
view
7 Nov 2017 in National Assembly:
Ahsante, Mhe. Spika. Kwa niaba yangu na wakaazi wa eneo Bunge la Rabai, natoa rambirambi kwa familia na marafiki wa Mstahiki Gavana Gakuru. Tunatoa rambirambi pia kwa wakaazi wa Nyeri. Tunajua kwamba ni wakati mgumu kwa sababu ni miezi minane tu iliyopita mliachwa na Gavana mliokuwa mmechagua na sasa imetokea tena. Letu ni kufanya maombi pamoja nanyi. Msimame na mungu. Tuna imani kwamba mungu atawapatia nguvu wote ambao wamesumbuka.
view