Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 111 to 120 of 272.

  • 3 Mar 2020 in Senate: Wakati dunia ya Kenya imenyamaza--- view
  • 3 Mar 2020 in Senate: Asante, Bi. Spika wa Muda. Tunafahamu kuwa Kiswahili ni jangwa kwa watu wengine, haswa wale wanaotoka magharibi mwa Kenya. Kwa hivyo ninapoongea hapa, huenda wasielewe chochote. Ninachomaanisha ni kuwa magonjwa au hata ukosefu wa chakula huenda ukaathiri usalama wa nchi. Wakati kuna vita, ambapo bunduki zinatumika, hali hiyo pia huathiri usalama. Hivyo vyote vinahusiana na usalama katika nchi ya Kenya. Kama mtu ni mgonjwa, hayuko salama. Mtu anapoambukizwa COVID-19, hayuko salama. Nilikuwa naeleza kinagaubaga hali ya usalama wetu unaotishwa na COVID-19 kutoka Bara la Asia. Ukiwa hapai, wakati mambo yanazungumzwa--- view
  • 19 Feb 2020 in Senate: Asante, Bw. Naibu Spika, kwa kunipatia nafasi hii. Kwa kweli, walimu kutolewa katika jimbo la North Eastern si nzuri kwa sababu Al Shabaab walileta tisho katika sehemu hiyo. Kama tutakuwa tunaendelea kutoa walimu sehemu zote ambazo wataenda, tutakuja kufunga Kenya hii. Inatakikana tulinde walimu wetu ili masomo yaweze kuendelea na watu wa North Easten wapate haki sawa na watu wote walio Kenya. view
  • 3 Dec 2019 in Senate: Asante Mheshimiwa Spika kwa kunipa nafasi hii. Ninaunga mkono taarifa ambayo imetolewa na Seneta wa Taita Taveta. Watu wa Taita Taveta huwa wanakufa katika migodi ya dhahabu wakiwa katika harakati ya kutafuta mali asili. Umaskini ni mkubwa sana Taita Taveta. Watu wa Taita Taveta bado hawajawezeshwa kufaidika na mali yao asili. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 3 Dec 2019 in Senate: Kaunti zote za pwani ziko na mali asili na watu wa pwani wanaweza kufaidika na hiyo mali. Mimi ninatoka Kaunti ya Tana River na tuko na madini ambayo inaweza kufaidi watu wa Tana River. Sheria na kanuni za kuchimba madini hazifuatwi. Kuna shimo kubwa ambazo zimebaki katika zile sehemu ambapo gypsum ilitolewa na ingekuwa vyema kama miti ingepandwa katika hizo sehemu. Hizo shimo zinasababisha maafa ya ng’ombe, mbuzi na hata wanadamu. Badala ya kuleta usaidizi kwa wenyeji, hayo madini yamekuwa hatari kwao. Ninaunga mkono hii Taarifa. Serikali za kaunti na Serikali kuu zinafaa kusaidia wenyeji ili waweze kufaidika na madini ... view
  • 3 Dec 2019 in Senate: Mr. Speaker Sir, the hon. Member on the Floor is debating her Statement. Could you give us the way forward please? view
  • 28 Nov 2019 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir, for giving me this chance. Mr. Speaker, Sir, pursuant to Standing Order No.48(1), I rise to seek a Statement from the Standing Committee on Energy. The disaster caused by annual flash floods experienced in Tana River County is as a result of perennial overflow from the Seven Forks Dams which is responsible for the production of hydroelectric power. Mr. Speaker, Sir, in the Statement, the Committee should- view
  • 28 Nov 2019 in Senate: (1) Explain why the management of power stations allegedly flash excess water into the river causing floods in upper, middle and lower Tana areas that lead to severe damage of roads, crops, livestock as well as displacement of thousands of people; (2) Outline the measures, if any, that the Ministry of Energy has put in place to mitigate against repeat of the perennial disaster; (3) State whether there is any form of compensation to the individuals and communities that have been directly affected and when the compensation if any will be given. Thank you, Mr. Speaker, Sir, for giving me ... view
  • 21 Nov 2019 in Senate: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. view
  • 21 Nov 2019 in Senate: Mr. Speaker, Sir, is the Senator on the Floor in order to use a strange language in this House? I heard him utter a word ‘hallelujah.’ Can he tell us what hallelujah is? view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus