3 Oct 2019 in Senate:
Bw. Spika, ninaunga mkono Mswada huu.
view
3 Oct 2019 in Senate:
Thank you, Madam Temporary Speaker, for giving me this chance to reply. The Sponsor of this Bill is away on an official duty in Mombasa. Therefore, being a Member of the Committee, I take this opportunity to thank all Members who have contributed to this Bill and gave us support. Pursuant to Standing Order No.61(3), I request that you defer putting of the question to another day.
view
2 Oct 2019 in Senate:
Asante Bw. Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii. Nitatangulia kwa kutuma risala za rambirambi kwa familia ya marehemu mama Mariam, jamaa na marafiki. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Seneta wa Mombasa amefanya vizuri kuleta Hoja hii kwa sababu wengi wamekufia ndani ya maji na wengi wako katika hatari ya kutumbukia majini. Utashangaa ukiingia katika feri ya Likoni kwa sababu magari na watu wanaingia kwa wingi. Hakuna mlango wa kufungwa baada ya watu kuingia. Kwa hivyo, hakuna chochote cha kuzuia watu na magari kuanguka ndani ya maji.
view
2 Oct 2019 in Senate:
Siku zote, mimi hujiuliza maswali. Sijui feri hutengenezwa namna gani. Ukienda pale, utaona kuwa magari na watu huingia kwa wingi lakini mlango haufungwi. Endapo gari litakosa mwendo, hakuna chochote cha kulizuia kutumbukia majini. Katika karne tunayoishi sasa, kuna vifaa vingi vya kisasa vya kuzuia maafa. Vile vile, kama walivyosema wenzangu, kuna watu ambao wamesomea mambo ya maji. Kuna wapigambizi ambao wanaweza kuzama ndani ya maji na kuangalia kilichoko majini na kukitoa. Pia, kuna maafisa wa Jeshi la Wanamaji ambao wanafunzwa mambo ya maji na wanaweza kunusuru kitu kikianguka majini. Tangu gari hilo lilipotumbukia majini, wapigambizi wamejaribu kulinusuru lakini wameshindwa. Inasemekana ...
view
2 Oct 2019 in Senate:
Sen. (Eng.) Hargura anasema pia wao hutumia feri kuvuka kutoka upande mmoja kwenda mwingine. Kwa hivyo, Serikali inafaa kuangalia maisha ya watu wake. Hili ni jambo ambalo liko kwenye Katiba. Mara nyingi vipengele vya Katiba havizingatiwi. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
2 Oct 2019 in Senate:
Watu wetu wanaendelea kuangamia. Kulikuwa na ajali ya Feri ya Mtongwe. Leo marehemu mama Mariam ameenda na hatujui kesho atakuwa nani. Tunaomba Serikali iwajibike. Naunga mkono Hoja hii.
view
18 Sep 2019 in Senate:
Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir, for giving me this chance. I rise pursuant to Standing Order No.48 (1) to seek a Statement from the Standing Committee on Security, Defence and Foreign Relations on the rising insecurity in Tana River County. In the Statement, the Committee should- (1) Explain the circumstances under which Mustafa Ali Gure, Hussein Ali Gure, Abdullahi Said Abdullahi and Ahmed Mohammed Haji were abducted by people who identified themselves as police on 12th September, 2019, at Ndera Location in Tana River Sub-County and later shot dead and their bodies burnt beyond recognition. (2) Explain whether the ...
view
18 Sep 2019 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, I would like you to direct my Statement to the Chairman who is right next to me.
view
18 Sep 2019 in Senate:
Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir.
view
17 Sep 2019 in Senate:
Asante, Bw. Naibu Spika, kwa kunipa nafsi hii nami niweze kuongeza sauti yangu. Nami pia naunga mkono katika hali ya kujivuta, kwa Mswada huu ambao tunaka kupitisha. Sisi kama Seneti tuliandamana na tukatembea huko Nairobi tukienda kortini ili kupigania haki ya waliotuchagua. Katika ile hali ambayo sisi tulikuwa tunapigania - kama vile Sen. Pareno alivyosema- tulikwa tunafanya kichapo cha mbwa kuingia msikitini, kupitia hali ya kisheria na sio hali ya nguvu wala mabavu. Bw. Naibu Spika, rasilmali ambazo tunapeleka katika maeneo yetu zinaendelea kudorora kwa sabbau, kutoka mwaka jana, pesa zinazidi kuwa kidogo tunavyosonga. Ukitaka kupima ili ujue kuwa kitu ...
view