Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 191 to 200 of 272.

  • 20 Jun 2019 in Senate: From this Motion, we should come up with a law to ensure that projects which are started by any individual are completed because people have to benefit. view
  • 20 Jun 2019 in Senate: Madam Temporary Speaker, with those few remarks, I support this Motion. view
  • 20 Jun 2019 in Senate: Asante Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii. Wakati huu tunapo enda likizo ni wakati mzuri kabisa kwenda kuonana na watu wetu. Vile vile huu ni wakati tunapo hitajika hapa Bungeni na huko makwetu, ili tuende kuona ni mambo gani gavana anayo fanya huko. Tunafanya oversight, kwa kutembea view
  • 20 Jun 2019 in Senate: kwenye kaunti na kugharamika kila siku. Natarajia kwamba wakati tutakapo rudi na tutakapo enda wakati mwingine, tutapata pesa za oversight ili kutuwezesha kufika na kuangalia ni yapi yanayo jiri katika kaunti zetu. Kwa hivyo, Bi. Spika wa Muda, nachukua fursa hii kusema asante, kwa sababu tumepata wakati mwema. Ubarikiwe. Asante. view
  • 13 Jun 2019 in Senate: Asante Madam Temporary Speaker, kwa kunipatia nafasi hii. Ninaunga Petition hii mkono. Magavana wamekuwa wakiandika watu kazi. Wenyekiti wa tume ya kuajiri watu hawafanyi kazi yao kwa sababu wanaelekezwa na magavana. view
  • 13 Jun 2019 in Senate: hii imekuja wakati mzuri. Hii Petition sio ya county moja bali ni ya view
  • 13 Jun 2019 in Senate: zote. view
  • 13 Jun 2019 in Senate: Asante, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii. Swala la kupata pasipoti katika Kenya haswa kwa jamii ya Waislamu imekuwa ndonda sugu. Mimi natoka sehemu ya Tana River, na huko hatuna ofisi ya kutoa pasipoti kwa watu wetu. Watu wengi katika sehemu hiyo haswa wazee kama babu yangu hawana vyeti ambavyo vinahitajika kama vile vyeti vya kuzaliwa ama vile vya kifo. Sijui tutavitoa wapi kwa vile Kenya ilipata Uhuru mwaka wa 1963 na babu yangu alifariki kabla ya The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained ... view
  • 13 Jun 2019 in Senate: mwaka huo. Nitapata shida kubwa sana kama nitaambiwa nitafute cheti cha kuzaliwa cha babu yangu ili nipate pasipoti. Kwa hivyo, tungependelea huduma ya kutoa pasipoti ienezwe katika kaunti zote ili Waislamu waweze kutuma maombi yao ya kupewa pasipoti katika sehemu za--- view
  • 15 May 2019 in Senate: Asante, Bi Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii ili pia niongeze sauti yangu katika Mswada huu ambao Sen. Ndwiga walilizungumzia na kuweka uwiano unaokubalika kwa watu wote. Hakuna haja ya Bunge la Kitaifa na sisi kama Seneti kuvutana hapa na pale. Waliotuchagua walifanya hivyo ili tuje tungengeneze na kurekebisha pahali ambapo pameharibika. Tukivutana huko na kule, na waliotuchagua wapate shida, itakuwa ni hasara kubwa kwao. Tunapovutana wanaoumia si sisi katika bunge hizi mbili bali ni wale ambao walituchagua. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus