Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 61 to 70 of 272.

  • 28 Jul 2021 in Senate: Kwa hakika, Mswada utapunguza kazi mingi ambayo iko kwa Government view
  • 28 Jul 2021 in Senate: Kazi ambazo zimerundika zitapata uchapishaji katika sehemu tofauti tofauti za ugatuzi. view
  • 28 Jul 2021 in Senate: Wale watataka kupata nakala za siku zilizopita watazipata zikiwa tayari kwa urahisi kwa sababu wataweza kuangalia uchapishaji huo ulikuwa wa tarehe gani. Kwa hivyo, itafuatiliwa na kupata rekodi ya uchapishaji huo na kurahisisha kazi. view
  • 28 Jul 2021 in Senate: Unavyojua, ugatuzi umeletwa kwa sababu ya mambo kama hayo ili kila kaunti iweze kujisimamia na kujifanyia mambo yake. Pia, watu watapata kazi kwa wingi kwa sababu ofisi ya uchapishaji ikifunguliwa, itaajiri wafanyikazi wengi. Hii itawapa fursa watu fulani kupata kazi katika ofisi za uchapishaji. view
  • 28 Jul 2021 in Senate: Bw. Spika, ninaunga mkono. view
  • 28 Jul 2021 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 7 Jul 2021 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I thank you for giving me this chance. I rise to support the statement by my good friend, Sen. Faki. Sacking of workers by county governments has become habit. For instance, Tana River County sacked many workers. That move has impoverished the lives of families of the workers. Many of the workers are dismissed for no good reason yet they have dependents. The county governments cannot keep sacking workers whenever a new regime takes office. Something should be done. Mr. Speaker, Sir, I thank you. view
  • 6 Jul 2021 in Senate: Asante, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii ili niweze kuchangia Taarifa ambayo imetolewa na rafiki yangu, Sen. Khaniri. Kwa kweli wakati huu Wakenya wengi wanaishi katika hali ya hofu kutokana na ugonjwa wa COVID-19. Sehemu ambayo mimi nimetoka, hakuna kitu cha maana ambacho kinafanyika katika hospitali. Hatuna chanjo ilhali tulifahamishwa ya kwamba kaunti zote zimepata chanjo kwa sababa chanjo hii inazuia kuenea kwa ugonjwa huu. Bi. Spika wa Muda, Wakenya wanaishi katika hali ya hofu. Hofu hii ikiendelea, basi maisha yao yataendelea kudoroa. Ni jambo la kuhuzunisha kuwa hakuna mambo ya maana yatakayofanyika hapa nchini. Ukweli ni kwamba ... view
  • 6 Jul 2021 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 6 Jul 2021 in Senate: chanjo huko mashinani. Jambo la muhimu ni kuwasihi watu wetu wakae mbali na wenzao na wavae barakoya kwa sababu wasipofanya hivyo janga litaendela kuwa hatari. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus