Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 41 to 50 of 272.

  • 5 Oct 2021 in Senate: Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii. Kwanza kabisa kabla ya kuchangia Mswada huu ningependa kuchukua nafasi hii kukupongeza kwa kuwa katika jopo la Spika la Bunge hili. Pia ningependa kukupongeza kwamba umeendesha shughuli za Bunge hili katika lugha ya kitaifa ya Kiswahili ambayo sio rahisi. Wakati mwingi imekuwa desturi ya Bunge zote za Kenya kuendesha shughuli zao katika lugha rasmi ya Kiingereza. Mswada huu ambayo uko mbele yetu wa kubinafsisha shirika la umma, umekuja kwa wakati mzuri kabisa. Miradi mingi imedorora kwa sababu kuna haja kubwa ya kupatikana nguvu-kazi ambayo ni nje ya wale ambao wanafanya kazi ... view
  • 22 Sep 2021 in Senate: Asante Mhe. Spika, kwa kunipa nafasi. Lugha ishara ni muhimu katika dunia ya leo. Kwa kweli kuna wale ambao hawajabahatika kuweza kuongea ili waeleweke. Katika hali hiyo, lugha ishara inatumika dunia nzima. view

  • 22 Sep 2021 in Senate: Ninaunga mkono lugha hiyo wakati wanapoisherehekea kwa sababu tunaishi na watu hao; ni ndugu zetu na watu ambao lugha hii yao inafaa ipewe kipaumbele katika shule na vyuo vikuu ili ikuzwe. view

  • 22 Sep 2021 in Senate: Katika hali hiyo, dunia nzima inaposherehekea lugha ishara, sisi pia hatuna budi kuongezeka katika dunia hiyo kubwa ili tuinue lugha ishara. Hii ni kwa sababu kuna watu wengi wanaoishi na sisi ukiangalia dunia nzima. view

  • 22 Sep 2021 in Senate: Kwa vile kuna serikali mbili katika mfumo wa Kenya, serikali za Kaunti na Serikali ya Kitaifa, zote zinafaa ziendeleze lugha ishara na kuikuza ili tuunge mkono dunia yote na tuongezeke. view

  • 22 Sep 2021 in Senate: Ninaunga mkono lugha ishara iweze kukuzwa katika shule zetu zote katika ngazi zote za serikali hapa Kenya na pia tujumuike na dunia nzima wanapoisherehekea. Hii ni kuwezesha wasiobahatika kuongea na kueleweka katika jamii wapate kipaumbele na wajihisi kama ni wananchi na watu wanaoishi katika dunia. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus