Johnson Nduya Muthama

Born

20th October 1954

Post

Parliament Building, P. O. Box 41842-00100 Nairobi

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

info@jnmholdings.co.ke.

Telephone

0733900300

All parliamentary appearances

Entries 401 to 410 of 1060.

  • 11 Jun 2014 in Senate: Bw. Spika wa Muda nakushukuru sana kwa nafasi hii ili nichangie Hoja hii. Nimemsikiza kwa makini sana dada yangu, Sen. Elachi, akizungumza kuhusu mambo yanayohitajika katika mjadala huu. Pia nimewasikiza wale ambao wamezungumza kabla mimi. Bw. Spika wa Muda, ni dhahiri kwamba katika taifa letu hatujakuwa na shida na Umoja wa Mataifa. Majeshi yetu yametumika katika dunia nzima lakini la kushangaza ni kwamba unajaribu kuipaka mafuta Umoja wa Mataifa ili wanajeshi wetu waweze kupata kazi. Kule hakutafutwi kazi, wanajeshi wanaenda kule kukiwa na shida. Lakini kuna mambo ambayo yameharibika katika nchi yetu. Hivi majuzi, Jenerali Mulinge alikuwa Sierra Leone na ... view
  • 11 Jun 2014 in Senate: Bw. Spika wa Muda, ndugu yangu angenisikiza--- view
  • 11 Jun 2014 in Senate: Bw. Spika wa Muda, kama ndugu yangu alinisikiza vizuri, nilisema kwamba Jeshi letu limeonyesha ujasiri katika nchi za nje na Gen. Mulinge alithibitisha hayo. Lakini kitendo cha Westgate kilikuja baadaye. Ule ni wizi uliofanywa na Jeshi linalolinda taifa. Kwa hivyo, kama jambo hilo lilitokea ni jukumu letu kusema kwamba tunataka jeshi ambalo lina heshima na adabu. Bw. Spika wa Muda, ni wazi kwamba viongozi wa juu katika taifa hili wako na kesi katika Korti ya Kimataifa kwa mashtaka ya mambo ya uharamia na mengine. view
  • 11 Jun 2014 in Senate: Bw. Spika wa Muda, sikusema kwamba kuna mtu ambaye amehukumiwa--- view
  • 11 Jun 2014 in Senate: Bw. Spika wa Muda, Hoja hii inazungumzia mambo ya Umoja wa Mataifa. Inahimiza Serikali ya juu kuongea na Umoja wa Mataifa ili majeshi yetu yakubaliwe kushiriki katika shughuli za kurejesha amani ulimwenguni. Hayo ndio mambo ambayo yako ndani ya mjadala huu. Hatuwezi kuongea kuhusu uhusiano wa Kenya na Umoja wa Mataifa kama hatuongei kuhusu uhusiano wa uongozi wa Kenya na Umoja wa Mataifa. Hatuwezi kusema kuwa haya ni maji na hii na chupa. Maji yakiingia ndani ya chupa bado huitwa maji. Mimi sikusema kuwa kuna mtu ambaye amehukumiwa. Nimeongea kuhusu wizi uliofanyika katika Westgate. Pia, nimesema kwamba uongozi wa juu ... view
  • 10 Jun 2014 in Senate: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. I think that I will be in order to say that the Mover himself never said anything bad about drinking. He is supporting what he said, but we all know that drinking alcohol is not good. It is only that we cannot stop the manufacture of alcohol. Is he in order for him to shift and say that what he has proposed to be good is not good? view
  • 9 Jun 2014 in National Assembly: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. I want to concur with Sen. Elachi. All of us, at the end of the day, will stand to support the Bill. We are all heading to say the same thing. It is important for us to close it, pass it and move on to another business. What we are saying is a repeat of what has been said once and again. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 9 Jun 2014 in National Assembly: Mr. Speaker, Sir, I want to ask my colleagues here that we go straight into voting. We are going through Ramadhan. Sen. Billow has already left. Sen. Hassan also wants to leave. I am requesting that we go straight into voting. I will get two more Senators from outside and we will have the numbers. view
  • 9 Jun 2014 in National Assembly: Mr. Speaker, Sir, it is just to make the Chair aware of what should be expected tomorrow. Thursdays have turned out to be the most difficult days to get Members in this House. We have even discussed this issue in the Rules and Business Committee. On Thursdays, we have been sending messages to Senators to request them to be in the Chamber in order to attend to the business of the day. So, tomorrow could be The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the ... view
  • 9 Jun 2014 in National Assembly: Mr. Speaker, Sir, if I may remind the Chair, your ruling and directive is that as soon as we have the numbers, we go straight to voting. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus